Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.

Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.

Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
 
Msimba ulionipa Goosebumps ulikuwa wa Magufuli.


Msiba huu ulinifanya kutafakari kitu kinaitwa time and space .

Muda na nyakati- kuwa katika muda watu humpatia MTU utukufu ambao sio wake Ila katika nyakati (space) MTU hupewa sifa Kutokana na alichofanya.

Rip All.
 
Kimpangalio ni
1.Mafisango
2.Kanumba
3.Magu...

Yaani uliomiuma sana Ulikuwa wa Mutesa aisee PMM
 
msiba haupimiki uchungu, huzuni uzito au wepesi πŸ’

hakuna msiba mwepesi hata kidogo, unless you are intending to hurt the families walo ondokewa na wapendwa wao specifically ulowataja πŸ’
 
Magufuli
R.I.P shujaa wetu
 
Hakuna, wameziba mashimo yao kwisha kazi hakuna cha kuguswa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…