Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

Ulishindwa kuangalia hata documentary?? Mpk sinema zetu?? 🤣
Documentary ya nn? Naaply wapi? Kichwa changu hakitaki mambo mengi....unaangalia documentary za uhalifu huko Kwa Biden unaanza kujipinda huku kuuandika story wakikusifia kwenye comments section unaongeza bidii
 
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™Œ Mfyuuuu!! Umefanya nicheke kifala..!!
 
Mwisho wa siku unajiita jasusi unaleta nondo tupu unakua na details kibao mpaka Bermuda triangle 🤣😁unapata manzi humu....kwel kichwani una content ila mfukoni sasa ndo vile tena....akili na Hela hua hazikai sehemu moja
 
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.

Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.

Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
Acha kumfananisha JPM na Mambo ya kijinga😊

NB.
Kila mtu Ana umuimu wake Ila not compare
 
Mwisho wa siku unajiita jasusi unaleta nondo tupu unakua na details kibao mpaka Bermuda triangle 🤣😁unapata manzi humu....kwel kichwani una content ila mfukoni sasa ndo vile tena....akili na Hela hua hazikai sehemu moja
🤣🤣🤣🤣
 
Documentary ya nn? Naaply wapi? Kichwa changu hakitaki mambo mengi....unaangalia documentary za uhalifu huko Kwa Biden unaanza kujipinda huku kuuandika story wakikusifia kwenye comments section unaongeza bidii
Definitely Magufuli shujaa wetu
 
Back
Top Bottom