kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
None of them,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba wa Magufuli kwangu ulikuwa shereheVyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.
Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
Bado ulikua mdogoHuyo Mafisango ndio naona jina lake sasa hivi.
Kanumba sikushtuka maana sijawahi kuwa mpenzi wa Bongo movies.
Magufuli nilishtuka kidogo sababu si kila siku raisi aliye madarakani kufariki.
Ok, ila usistaajabu ikawa nina umri sawa na mzee wako chief.Bado ulikua mdogo
Msiba wa Mafisango walikuwa wanalia wanaume na madevu yaoVyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.
Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
Magufuli haukuwa msiba wa ghafla,Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.
Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
Pole sana. Mungu awape amani na pumziko la milele wote waliotangulia.1. Baba yangu .. aliuliwa na majambazi
2. Mama yangu .. nilimuuguza to the last.
3. Mme wangu, though tulitengana but was painful.