Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

Msiba wa Magufuli kwangu ulikuwa sherehe
 
Huyo Mafisango ndio naona jina lake sasa hivi.

Kanumba sikushtuka maana sijawahi kuwa mpenzi wa Bongo movies.

Magufuli nilishtuka kidogo sababu si kila siku raisi aliye madarakani kufariki.
Bado ulikua mdogo
 
Magufuli nlikuwa nimelala nikaamshwa na mke wangu kuna taarifa inatangazwa raisi kafariki na suingizi ukomea palepale siku hio sikulala kabisa.
 
Kanumba alipohojiwa kuhusu kutumia pombe alisema alikuwa hatumi pombe...mule ndani alikuwa na JD
hivi wakati kanumba yuko na lulu,huyo lulu alikuwa na miaka mingapi kiumri???
Kiukweli kanumba sikustuka wala kushanga
Ila mafisango nlisikitika hata jpm pia nlisikitika kama vifo vyote hivyo nlisikitika kama nnavyosikia
Na kuona misiba mingine

Ova
 
Magu..niliamka usiku na sikulala tena had asubuh..nikijiliwaza itakua si kwel...

Ile dhambi waliyofanya itawatafuna siku1
 
Bado ulikua mdogo
Ok, ila usistaajabu ikawa nina umri sawa na mzee wako chief.

Sijajua kigezo kipi kimekuaminisha nilikuwa mdogo kwa kupitia comment yangu tu. Ila kutomkujua mtu ama kutohisi uchungu sababu ya kufa kwa mtu hakuamuliwi na umri bali interest ama ukaribu aidha na huyo mtu ama kila anachofanya mtu huyo.

But then again we all are entitled to our own opinions, nina yakini una sababu zako za kuamini nilikuwa mdogo.
 
Msiba wa Mafisango walikuwa wanalia wanaume na madevu yao
 
Kwanza ukome kutuambia magufuli alikufa kwa mshtuko wa moyo.
 
Magufuli haukuwa msiba wa ghafla,
 
Hapo kila mmoja anajua msimba ulio wagusa wengi ni mmoja tuu wa Magufuli sema wengi wanaona aibu kusema na unafatiwa wa Kanumba!
 
Misiba yote inasikitisha na ni funzo kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…