Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

Hapo kila mmoja anajua msimba ulio wagusa wengi ni mmoja tuu wa Magufuli sema wengi wanaona aibu kusema na unafatiwa wa Kanumba!
Sherehe. Ila niliumia alipoondoka na roho za watu 90
 
mimi sio sisiEm ila msiba wa mr PRESIDENTulinipa huzuni.!rip Magufuli
 
Msiba wa bibi kidude ulikua nima sana
 
Definitely mwana mapnduzi Magufuli
 
Yaan katika wote hapo hamna hata alienishtua nlikuwa bize tu na mambo yangu
 
Kijana wa hovyo 🀣🀣🀣
Ya mjomba magu nlijua asubuh maana night nliangusha usingz mnene kinoma, mi nkaendelea na mishe asalalee ilikuja hyo Simba dume huko daslam mnaita difender ilisambaza watu hamna Cha machinga wala duka wote funga Rudi nyumbani nkaenda kuangalia sinema zetu
 
Kweli mwanaume unaangalia sinema zetu?? Nimelia sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli mwanaume unaangalia sinema zetu?? Nimelia sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa ntafanyaje nlirudi home saa mbili asubuhi ntaenda wapi kila napoangalia sioni Cha kuangalia, insta nimelika picha za makalio mpaka nimechoka fb ni matangazo ya waganga wa nyumbanitu, jf nlikuwa naona kama kernel ya wanaharakati
 
Ulishindwa kuangalia hata documentary?? Mpk sinema zetu?? 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…