Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Documentary ya nn? Naaply wapi? Kichwa changu hakitaki mambo mengi....unaangalia documentary za uhalifu huko Kwa Biden unaanza kujipinda huku kuuandika story wakikusifia kwenye comments section unaongeza bidiiUlishindwa kuangalia hata documentary?? Mpk sinema zetu?? 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Mfyuuuu!! Umefanya nicheke kifala..!!Documentary ya nn? Naaply wapi? Kichwa changu hakitaki mambo mengi....unaangalia documentary za uhalifu huko Kwa Biden unaanza kujipinda huku kuuandika story wakikusifia kwenye comments section unaongeza bidii
Mwisho wa siku unajiita jasusi unaleta nondo tupu unakua na details kibao mpaka Bermuda triangle 🤣😁unapata manzi humu....kwel kichwani una content ila mfukoni sasa ndo vile tena....akili na Hela hua hazikai sehemu moja🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Mfyuuuu!! Umefanya nicheke kifala..!!
Acha kumfananisha JPM na Mambo ya kijinga😊Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao.
Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
🤣🤣🤣🤣Mwisho wa siku unajiita jasusi unaleta nondo tupu unakua na details kibao mpaka Bermuda triangle 🤣😁unapata manzi humu....kwel kichwani una content ila mfukoni sasa ndo vile tena....akili na Hela hua hazikai sehemu moja
Mawazo ya watanzania kuachana na dhana potofu ya kuamini kuwa sisi ni nchi ya kijinga na masikini, kwani wewe bado umelala na kuamini kuwa sisi ni masikini na wajinga au?Alimpindua nani?
Definitely Magufuli shujaa wetuDocumentary ya nn? Naaply wapi? Kichwa changu hakitaki mambo mengi....unaangalia documentary za uhalifu huko Kwa Biden unaanza kujipinda huku kuuandika story wakikusifia kwenye comments section unaongeza bidii