Poleni na majukumu kuna rafiki yangu amenipa hii habari ni kama sijaamini vile ina maana kuna utapeli mpya mjini au ni hivi nasikia 80% ya mizigo inayoingizwa na hawa wafanyabishara inaagizwa na dada mmoja anaitwa cecy akishirikiana na wifi yake Rehema na wamekuwa wakifanya hii biashara kwa muda ila safari hii pesa wamefanyia investment so wakawa wanadaiwa.
Wamekamatwa na tz watu wanasubiri mizigo yao mpk sasa nasikia walioripoti na kutoa ushahidi wa pesa zinafika 2bilion na zaidi ninachojiuliza hawa wadada wamejiamini kuliza watu kwa pesa yote hiyo?
Wamekamatwa na tz watu wanasubiri mizigo yao mpk sasa nasikia walioripoti na kutoa ushahidi wa pesa zinafika 2bilion na zaidi ninachojiuliza hawa wadada wamejiamini kuliza watu kwa pesa yote hiyo?