Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

Kiukweli hiyo ishu ya utapeli ipo. Kuweni makini Mimi yalinikuta sema sikupata hasara kubwa Mungu alisaidia.

Mbaya zaidi kwenye group ambalo yy ndo admini ndo anaruhusiwa kutuma sms tu
Kama unaagiza mzigo unamfuta inbox.

Huyo anachofanya anatoa list ya vitu ambavyo anaagiza China, anatoa muda wa kupokea order, na tarehe ya kufunga order.

Wateja mlio kwenye group mnamfuata inbox kwa ajili ya kuorder baada ya muda mizigo hailetwi unamfuta inbox anakupiga sound.

Kwa hiyo hamuwezi kujua ni nani na nani hajapata mzigo kwa hiyo lawama zinakuwa ni ndani ya inbox yake.
 
Kiukweli hiyo ishu ya utapeli ipo
Kuweni makini Mimi yalinikuta sema sikupata hasara kubwa
Mungu alisaidia
Mbaya zaidi kwenye group ambalo yy ndo admini ndo anaruhusiwa kutuma sms tu
Kama unaagiza mzigo unamfuta inbox
Huyo anachofanya anatoa list ya vitu ambavyo anaagiza china, anatoa muda wa kupokea order, na tarehe ya kufunga order
Wateja mlio kwenye group mnamfuata inbox kwa ajili ya kuorder baada ya muda mizigo hailetwi unamfuta inbox anakupiga saund

Kwa hiyo hamuwezi kujua ni nani na nani hajapata mzigo kwa hiyo lawama zinakuwa ni ndani ya inbox yake
Yaan umeeleza sawa sawia na wana majibu mabaya.
 
Poleni na majukumu kuna rafiki yangu amenipa hii habari ni kama sijaamini vile ina maana kuna utapeli mpya mjini au ni hivi nasikia 80% ya mizigo inayoingizwa na hawa wafanyabishara inaagizwa na dada mmoja anaitwa cecy akishirikiana na wifi yake Rehema na wamekuwa wakifanya hii biashara kwa muda ila safari hii pesa wamefanyia investment so wakawa wanadaiwa.

Wamekamatwa na tz watu wanasubiri mizigo yao mpk sasa nasikia walioripoti na kutoa ushahidi wa pesa zinafika 2bilion na zaidi ninachojiuliza hawa wadada wamejiamini kuliza watu kwa pesa yote hiyo?
Kweli wewe ni quriousity..
 
Dah hivi kumbe ndo maan kuna jamaa nlimlipa jela toka mwezi wa tisa hadi leo ana zungusha tu
 
Jiunge na Alibaba.com na ukishapata unachokitafuta safirisha kwa Silent Ocean (GSM) Namba zao za simu ni 0746 813 813 watakuelekeza! Kwa njia hii huwezi ibiwa hata kama ni kununua njiti ya kiberiti.
Silent ocean wahuni wanachelewesha sana mizigo bora utumie Mapembelo au shamwaa na sasa hivi unique wameanza sea freight
 
Kiukweli hiyo ishu ya utapeli ipo
Kuweni makini Mimi yalinikuta sema sikupata hasara kubwa
Mungu alisaidia
Mbaya zaidi kwenye group ambalo yy ndo admini ndo anaruhusiwa kutuma sms tu
Kama unaagiza mzigo unamfuta inbox
Huyo anachofanya anatoa list ya vitu ambavyo anaagiza china, anatoa muda wa kupokea order, na tarehe ya kufunga order
Wateja mlio kwenye group mnamfuata inbox kwa ajili ya kuorder baada ya muda mizigo hailetwi unamfuta inbox anakupiga saund

Kwa hiyo hamuwezi kujua ni nani na nani hajapata mzigo kwa hiyo lawama zinakuwa ni ndani ya inbox yake
Suala ya kufunga kucomment ipo hv;
Watanzania weng wakipewa uhuru wanaitumia vibaya unakuta mtu anaanza kupost biashara zake, pesa za majini, PID na nguvu za kiume wanaweka ukiwafuata inbox wanaleft alaf hile taarifa inabaki na whatsapp tofauti ba telegram admn hana uwezo wa kufuta post kama sio yake.

Mm namiliki group kibao yashanikuta ndio maana weng huwa wanaweka private.

Kwenye kuhusu kuagiza ni kweli kabisa asiliimia 70% ya wanaoagiza vitu (agents) wanawatumia agents wengne na wao wanaongeza kidogo cha juu ili waishi maana weng hawajui namna ya kuagiza na hawana ajira so wanaamua kujiajir ila lengo sio kutapeli ila utapeli unakuja pale muhusika mkuu anaposhindwa kuwapa ushirikiano sahihi.
Kama unapenda kuagiza vitu jifunze shida watanzania kujifunza hawataki, ukimwambie atoe hela umfundishe hataki anataka bure, na ukiwaambia umuagizie anakuona tapeli[emoji23][emoji23]
 
upo sahihi kuna demu nilimpa tahadhari nikamwambia kama kuagiza subiri ntakusaidia tuagize direct akachachawa na bei ya bidhaa akatuma pesa bila kunambia atajuwa mwenyewe
 
silent ocean wahuni wanachelewesha sana mizigo bora utumie Mapembelo au shamwaa na sasa hv unique wameanza sea freight
Inabidi uanzishwe. Uzi maalum watu waagize wenyewe direct maana!
 
Tatizo la alibaba ni wholesaler so lazima ununue units nyingi, na aliexpress ambaye ni retailer anauza bei juu ya bei za hao matapeli
 
Suala ya kufunga kucomment ipo hv;
Watanzania weng wakipewa uhuru wanaitumia vibaya unakuta mtu anaanza kupost biashara zake, pesa za majini, PID na nguvu za kiume wanaweka ukiwafuata inbox wanaleft alaf hile taarifa inabaki na whatsapp tofauti ba telegram admn hana uwezo wa kufuta post kama sio yake.

Mm namiliki group kibao yashanikuta ndio maana weng huwa wanaweka private.

Kwenye kuhusu kuagiza ni kweli kabisa asiliimia 70% ya wanaoagiza vitu (agents) wanawatumia agents wengne na wao wanaongeza kidogo cha juu ili waishi maana weng hawajui namna ya kuagiza na hawana ajira so wanaamua kujiajir ila lengo sio kutapeli ila utapeli unakuja pale muhusika mkuu anaposhindwa kuwapa ushirikiano sahihi.
Kama unapenda kuagiza vitu jifunze shida watanzania kujifunza hawataki, ukimwambie atoe hela umfundishe hataki anataka bure, na ukiwaambia umuagizie anakuona tapeli[emoji23][emoji23]
Kama una hiyo elimu ndugu ni vema ukashare na wengine wafaidike
 
silent ocean wahuni wanachelewesha sana mizigo bora utumie Mapembelo au shamwaa na sasa hv unique wameanza sea freight
Silent Ocean watumie ukiwa na kontena lako, hapo wanawahisha haraka. Mizigo mingine huwa unachelewa kwa kuwa wana aina nyingi sana ya mizigo. Ni tofauti na GNM ambao mainly hubeba mitumba na nguo za watu wa Kkoo au Mapembelo inayobeba beli za Wakinga
 
Mbongo hawezi fika mbali utaxama mia 2 ya leo, na sio 800 ya kesho. Mbongo uona ujanja kupiga
 
Hata shemeji yenu alikuwa na group la wasap kupata mia 2 mbili, kapokea pesa za watu wenye group kubwa wamempiga na wamewapiga wengi.
 
Poleni na majukumu kuna rafiki yangu amenipa hii habari ni kama sijaamini vile ina maana kuna utapeli mpya mjini au ni hivi nasikia 80% ya mizigo inayoingizwa na hawa wafanyabishara inaagizwa na dada mmoja anaitwa cecy akishirikiana na wifi yake Rehema na wamekuwa wakifanya hii biashara kwa muda ila safari hii pesa wamefanyia investment so wakawa wanadaiwa.

Wamekamatwa na tz watu wanasubiri mizigo yao mpk sasa nasikia walioripoti na kutoa ushahidi wa pesa zinafika 2bilion na zaidi ninachojiuliza hawa wadada wamejiamini kuliza watu kwa pesa yote hiyo?
Hii haiwezekani.

Ni mizigo gani? Umejuaje ni 80% ya waagizaji wanawatumia hao wadada kama agents?
 
Hata shemeji yenu alikuwa na group la wasap kupata mia 2 mbili, kapokea pesa za watu wenye group kubwa wamempiga na wamewapiga wengi.
Nna ndugu yangu nae amepigwa hela ndefu balaa bas ana kesi vtuo vya polisi kama vyote dar maana na yeye alikua anakusanya hela kwa watu.
Huyo cecy mwenyewe ukimuona ndo utachoka katoto tu kana miaka 23 kaluga luga ukiambiwa hizo pesa alizopiga unaishiwa pozi, anyway yuko sentro tangia majuz na yeye anadai watu wameongeza masifuri hawamdai pesa zote hizo [emoji23]
 
Ndo wanaoharibu biashara za watu hao leo online wote uonekana ni DECO. Sijui kwann wabongo hawapo serious na life, uona ni bora apige sh 200 ya leo aache elf 10 ya kesho.

Kuna mtu katupiga zaidi ya bilioni moja jumla ya watz 200 Dodoma, Dar na Arusha Mimi amenipiga milioni 6 wengine hadi milioni 30 hizi hizi kampuni za kuuza viwanja vya kulipa kwa awamu tena imesajiliwa kabisa inaitwa VKP investment mmiliki jina Yona hana hata 10 ya kutulipa, kesi ipo mahakamani mwaka wa nne huu. Yaani mtu unafika uwezo wa kuzungusha hadi bilioni moja kwenye uuzaji wa viwanja then unashindwa kuendesha kampuni pesa zinaishia kwenye chupi na chupa.

Wapo waliopata viwanja vyao wengine tumepigwa kwa kuonyeshwa viwanja wasivyomiliki yaani wanakuuzia kiwanja au Shamba kumbe mwenye Shamba awajamalizana nae unalipa pesa kampuni badala ya kumlipa mwenye eneo wao wanazipeleka kwenye starehe, chochote afanyacho mswahili kuwa makini Sana unaweza geuzwa wewe ndo fursa.
 
Ndo wanaoharibu biashara za watu hao leo online wote uonekana ni DECO. Sijui kwann wabongo hawapo serious na life, uona ni bora apige sh 200 ya leo aache elf 10 ya kesho.
Kuna mtu katupiga zaidi ya bilioni moja jumla ya watz 200 Dodoma, Dar na Arusha Mimi amenipiga milioni 6 wengine hadi milioni 30 hizi hizi kampuni za kuuza viwanja vya kulipa kwa awamu tena imesajiliwa kabisa inaitwa VKP investment mmiliki jina Yona hana hata 10 ya kutulipa, kesi ipo mahakamani mwaka wa nne huu. Yaani mtu unafika uwezo wa kuzungusha hadi bilioni moja kwenye uuzaji wa viwanja then unashindwa kuendesha kampuni pesa zinaishia kwenye chupi na chupa. Wapo waliopata viwanja vyao wengine tumepigwa kwa kuonyeshwa viwanja wasivyomiliki yaani wanakuuzia kiwanja au Shamba kumbe mwenye Shamba awajamalizana nae unalipa pesa kampuni badala ya kumlipa mwenye eneo wao wanazipeleka kwenye starehe, chochote afanyacho mswahili kuwa makini Sana unaweza geuzwa wewe ndo fursa.
Dah mkuu nashukuru umenifumbua macho nilikuwa nina mpango wa kununua kiwanja kupitia hivyo vikampuni ila sikuwa na uhakika kuhusu usalama wa hizo kampuni.
 
Back
Top Bottom