Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

Hao wafanyabiashara wa ajabu sana mimi na nunua mzigo moja kwa moja kwa mchina halafu natuma hela kwa shipping agents wangu na kumlipa kwa WeChat. Ila tokea kuanza corona mzigo unachelewa sana.
Mambo naomb uniunganishe na huyu mchina natak kuagiza mzigo china ila sina supplier
 
Tatizo unaficha ficha mambo taja majina mimi naanza na huyu omi_trend tz kapigwa na kupelekea kuwapiga wafuasi wake huko whatsapp toka mwaka jana jamaa alikuwa na 3 groups nazozijua mimi zote watu wanalia huko majibu hakuna
 
Back
Top Bottom