Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

Nashukuru watu mnavyofunguka naamini na wengine watapona kupitia hii thread japo wapo walioidharau mwanzo
 
Lizweni tu[emoji16][emoji16] unawezaje nunua vitu kwa watu kati kiasi hiko si bora kununua kariakoo.
Mimi sijawahi amini mtu
Naagiza mwenyewe.
Nilianza AliExpress siku nikawa mzoefu siku hizi sitaki hata kuiona.

Nikahamia Alibaba, nimeshaichoka, nikazama kule taobao, nikasituka hawana bei Rafiki, nikaingia soko la fish market lipo china wanauza used walizotumia kama unavyoona kupatana[emoji1787][emoji1787] huko sikukaa sana nikawajaribu 1688, sasa napiga huko, JD na Tmall.

Mambo safi.
 
Wabongo hutapeliwa kutokana na uvivu .

Imagine pesa unayo na smartphone unayo dunia ni kama kijiji bado unampa mtu pesa tena cash akuagizie mzigo ?

yaani mbongo smartphone bado ana safari ndefu kuelekezwa ilivyo powerful wa ulimwengu wa sasa ila watu wanakalia udaku wakati china wanayo kiganjani tu .
 
hiv ni njia ipi cheap kwa shipping nijuwe
Lizweni tu[emoji16][emoji16] unawezaje nunua vitu kwa watu kati kiasi hiko si bora kununua kariakoo.
Mimi sijawahi amini mtu
Naagiza mwenyewe.
Nilianza AliExpress siku nikawa mzoefu siku hizi sitaki hata kuiona.

Nikahamia Alibaba, nimeshaichoka, nikazama kule taobao, nikasituka hawana bei Rafiki, nikaingia soko la fish market lipo china wanauza used walizotumia kama unavyoona kupatana[emoji1787][emoji1787] huko sikukaa sana nikawajaribu 1688, sasa napiga huko, JD na Tmall.

Mambo safi.
he
 
Elezea basi vizuri tuelewe kumbuka na wewe mwanzo ulikuwa kipofu
 
Lizweni tu[emoji16][emoji16] unawezaje nunua vitu kwa watu kati kiasi hiko si bora kununua kariakoo.
Mimi sijawahi amini mtu
Naagiza mwenyewe.
Nilianza AliExpress siku nikawa mzoefu siku hizi sitaki hata kuiona.

Nikahamia Alibaba, nimeshaichoka, nikazama kule taobao, nikasituka hawana bei Rafiki, nikaingia soko la fish market lipo china wanauza used walizotumia kama unavyoona kupatana[emoji1787][emoji1787] huko sikukaa sana nikawajaribu 1688, sasa napiga huko, JD na Tmall.

Mambo safi.
Alibaba uliacha bure tu kama unajua kuitumia vizur unapata vitu quality kwa bei nzur sana tena kuna muda kama ni mjanja bei inalingana na 1688 ila kama ukiingia kichwa kichwa ndio unapigwa bei za kariakoo.
 
Unaandika vitu hata havieleweki ni mizigo gani hio inayoagizwa china? Hao wadada wanahusika vipi kwenye kununua mzigo kwa suppliers etc pia usiseme 80% ya wafanya biashara wote wanawatumia hao watu wenu utakuwa haupo serious. Tulia andika polepole tukuelewe unawahi wapi?
Ameandika kama anakimbizwa
 
Hao wafanyabiashara wa ajabu sana mimi na nunua mzigo moja kwa moja kwa mchina halafu natuma hela kwa shipping agents wangu na kumlipa kwa WeChat. Ila tokea kuanza corona mzigo unachelewa sana.
Naomba uweke hapa utaratibu wa kununua Moja Moja kwa mchina mzigo upoje na mfumo wa malipo

Njia zipi unatumia ili kuwa na uhakika wa usalama wa pesa zako na mzigo
 
Ndo tatizo ya habari za kuambiwa ndugu ni hivi kuna wimbi kubwa limeibuka la wafanyabishara kufungua group za whatsup na kusema wanaagiza mizigo china kwa bei rahisi na kumbe wao kuna mtu anawaagizia na huyo mtu naye anaagiza kwa mtu na huyo mwingine ndo anaagiza kwa hiyo cecy so watu wengi waliopo kwenye hayo magroup unakuta wanadai mizigo ya toka mwaka jana na hawajapata hadi leo.
Lakin ni wapuuz tu hao
 
Jiunge na Alibaba.com na ukishapata unachokitafuta safirisha kwa Silent Ocean (GSM) Namba zao za simu ni 0746 813 813 watakuelekeza! Kwa njia hii huwezi ibiwa hata kama ni kununua njiti ya kiberiti.
Naomba ushauri Hawa mfumo wao upoje Alibaba kulipia
 
Alibaba uliacha bure tu kama unajua kuitumia vizur unapata vitu quality kwa bei nzur sana tena kuna muda kama ni mjanja bei inalingana na 1688 ila kama ukiingia kichwa kichwa ndio unapigwa bei za kariakoo.
Tupe darasa hapa
 
Naomba uweke hapa utaratibu wa kununua Moja Moja kwa mchina mzigo upoje na mfumo wa malipo

Njia zipi unatumia ili kuwa na uhakika wa usalama wa pesa zako na mzigo
Mimi nishakwenda china kila duka nilochukuwa mzigo wamenipa na business card zao. Kwahio ninachofanya nawasiliana nao kwenye WhatsApp tu. Wanatuma picha za bidhaa nachagua nao wanajumlisha jumla ya malipo. Lakini sasahivi nataka nijaribu kununua mzigo kwa Alibaba pia nataka kwenda India na Uturuki.
 
Naomba ushauri Hawa mfumo wao upoje Alibaba kulipia
Unalipa kwa kutumia kadi yako ya Benki (debit card) na kuna Insuarance kama bidhaa haikufika unarejeshewa hela yako au ukiletewa bidhaa ambayo siyo. Ni njia ya kiungwana kabisa.
 
Mimi nishakwenda china kila duka nilochukuwa mzigo wamenipa na business card zao. Kwahio ninachofanya nawasiliana nao kwenye WhatsApp tu. Wanatuma picha za bidhaa nachagua nao wanajumlisha jumla ya malipo. Lakini sasahivi nataka nijaribu kununua mzigo kwa Alibaba pia nataka kwenda India na Uturuki.
In fact Alibaba.com kuna viwanda na kuna wauzaji wa rejareja. Si Salama kununua moja kwa moja kupitia makampuni maana unaweza kulizwa. Vyema kupitia alibaba aliexpress etc ili uwe na uhakika kuwa hela yako ipo Salama.
 
Mimi nishakwenda china kila duka nilochukuwa mzigo wamenipa na business card zao. Kwahio ninachofanya nawasiliana nao kwenye WhatsApp tu. Wanatuma picha za bidhaa nachagua nao wanajumlisha jumla ya malipo. Lakini sasahivi nataka nijaribu kununua mzigo kwa Alibaba pia nataka kwenda India na Uturuki.
Samahani,unaweza nitumia namba zao nami nikatumia njia yako kupata mzigo?
 
Naomba ushauri Hawa mfumo wao upoje Alibaba kulipia
Mifumo ipo clear kwa makampuni yote:
1.Unaongea na shipping agent mfano Mapembelo, GNM cargo, silent ocean, Unique, shamwaa, Faith Royal cargo nk utachagua wewe moyo wako unapoangukia then watakupa ADDRESS YAO YA CHINA, hyo address utaicopy kama ilivyo.

2. Utaenda Alibaba, madeinchina, 1688 hao wote ni wauzaji wa jumla, utachagua bidhaa unayotaka utarequest alaf muuzaji atakujibu na utamuuliza maswali yote unayoona kwako ni sahihi kama sizes, color, quality, pia unaweza kumuomba akutumie real picture/video.

3.Utakubalina na supplier bei kama ukiridhia bei aliokutajia na mmenegotiate mpaka mkaafikiana atakuomba ADDRESS YA CHINA ili iwe rahisi na kuokoa gharama ya shipping then hile address ulioCOPY kwa shipping agent ndio utampa alaf yeye atakupa gharama ya shipping kutoka kiwandani/warehouse yao mpaka kwa shipping agent wako, hyo bei itajumuishwa kwenye gharama ya bidhaa yako.

4. Kama ni bei ndogo mfano chini ya $500 unaweza kutumia VISACARD ya voda kama huna card ya Bank inayoruhusu transaction online then utalipia kazi itabak yeye kuship kwenda kwa agent wako, ila kam ni mzigo mkubwa sana huwa wanataka 50-60% ya malipo alaf wao wanaanza kuprocess mfano kama ni order ya kiwandani ukilipa hyo wataanza kukutengenezea kutokana na makubaliano yenu wakimaliza utamalizia alaf wanakusafirishia kama taratibu za bidhaa zingne ndogo ndogo.

Jitahidi sana kuongea na supplier ili ujue muda atakaotumia mpaka mzigo wako unafika kwa shipping agent ili nawewe uendane na timetable za meli.

5. Baada ya taratibu hzo kukamilika na mzigo kufika kwa shipping agent wako kazi itakuwa imebaki kwa agent wako kukusafirishia kuja Tanzania kama ni kwa meli huwa inachukua siku 30-45 mpaka kupokea mzigo wako japo wapo wengne wanachelewesha sana mizigo.
Agent wako atakupa gharama ya mzigo wako ili ujiandae mapema pale mzigo unapofika uweze kulipia na kwenda kwenye ofisi zao kuchukua.
Meli wanapina kwa CBM (Cubic meter) ila ndege mizigo yote inapimwa kwa KG.

Pia inakuwa vizur kuomba Supplier wako wa kichina kukupa makadirio ya CBM u Uzito wa bidhaa yako ili upige hesabi zako kama utapata faida au Maana unaweza ukajikuta umeingia hasara so lazma uwe makini hapo.

Mambo mengine namna ya kumchagua supplier wadau wengne wataongezea maana mambo ni mengi hatuwez kumaliza kwa article moja labda ningekuwa kwenye computer ningeiandaa vizur zaid.

Karibuni kwenye ulimwengu wa digitali ambao unaagiza mzigo china na unapambana bei na wauzaji wa jumla kariakoo.
 
upo sahihi kuna demu nilimpa tahadhari nikamwambia kama kuagiza subiri ntakusaidia tuagize direct akachachawa na bei ya bidhaa akatuma pesa bila kunambia atajuwa mwenyewe
Hawezi kujuwa mwenyewe wakati pesa ulimpa wewe
 
Unafanikiwa vipi sajili n we chart payment ukifika china mkuu ukafungua akaunti or manake wanasheria sana Hawa viumbe
Hao wafanyabiashara wa ajabu sana mimi na nunua mzigo moja kwa moja kwa mchina halafu natuma hela kwa shipping agents wangu na kumlipa kwa WeChat. Ila tokea kuanza corona mzigo unachelewa sana.
 
Back
Top Bottom