Daaah kiongozi hata mimi nimemshangaa huyo mtoa habari. Hakuna anachojua zaidi ya kupotosha. Eti 80% wanaagiza kwa huyo dada.Unaandika vitu hata havieleweki ni mizigo gani hio inayoagizwa china? hao wadada wanahusika vipi kwenye kununua mzigo kwa suppliers etc pia usiseme 80% ya wafanya biashara wote wanawatumia hao watu wenu utakuwa haupo serious. Tulia andika polepole tukuelewe unawahi wapi?
Ndo tatizo ya habari za kuambiwa ndugu ni hivi kuna wimbi kubwa limeibuka la wafanyabishara kufungua group za whatsup na kusema wanaagiza mizigo China kwa bei rahisi na kumbe wao kuna mtu anawaagizia na huyo mtu naye anaagiza kwa mtu na huyo mwingine ndo anaagiza kwa huyo Cecy so watu wengi waliopo kwenye hayo magroup unakuta wanadai mizigo ya toka mwaka jana na hawajapata hadi leo.Unaandika vitu hata havieleweki ni mizigo gani hio inayoagizwa china? hao wadada wanahusika vipi kwenye kununua mzigo kwa suppliers etc pia usiseme 80% ya wafanya biashara wote wanawatumia hao watu wenu utakuwa haupo serious. Tulia andika polepole tukuelewe unawahi wapi?
Watu wengine ni kuachana nao tu ...Kama ni wadada mizigo wanayoagiza itakuwa ni viwalo na nywele bandia. Tanzania inaagiza mzigo wa takribani Tshs. bilioni 236 wa viwalo kutoka China kwa mwaka.
Ukigawa kwa miezi 12 ni wastani wa Tshs. bilioni 19.6 kwa mwezi.
Tshs. bilioni 2 ni 10% tu ya hiyo.
Kwa hiyo hao wadada sio kweli kwamba wanaagiza 80% ya mzigo. Hiyo 10% ni nzito ila sio ya kutangaza taharuki kama hii uliyotangaza.
Daaah kiongozi hata mm nimemshangaa uyo mtoa habari. Akuna anacho jua zaidi ya kupotosha. Eti 80% wanaagiza kwa uyo dada.
Nchi hii uhuru umezidi mnooo.
Sahihi kabisaMkuu kma hauelewi kausha tu
Wadada wengi sana wamefungua magroup ya whatsap wakidanganya watu kwamba wanaagiza mizigo
Kumbe na wao wanampa mtu mwingine hela,
Wanalia mtaani vibaya mno, wahusika hawapatikani na mizigo ni tokea March
Naomba maelekezo jinsi ya kuagiza mwenyewe kama inawezekana rafikiKwanini umtumie mtu kukuagizia mzigo china? Si unaagiza mwenyewe online
Afadhali hata useme ndugu ni kilio sema kila mtu analia kimya kimya, wanachofanya ni kujifanya wanatangaza bidhaa nyingine ili wakusanye pesa walipe wale waliotangulia kulipa pesa za mizigo. Hadi hapo na wenyewe watakapolipwa pesa zao.Mkuu kma hauelewi kausha tu
Wadada wengi sana wamefungua magroup ya whatsap wakidanganya watu kwamba wanaagiza mizigo
Kumbe na wao wanampa mtu mwingine hela,
Wanalia mtaani vibaya mno, wahusika hawapatikani na mizigo ni tokea March
Watu wanalia toka mwaka jana wengine wanaamua kusamehe ila hao wadada ni matapeli wa kimataifaSahihi kabisa,
Nipo kwenye groups kadhaa za hivyo nachek tu watu wanavyopigwa. Mwanzo nilidhan ni group serious nikasema nijiunge. But ukichunguza ni kutapeliana tu.
Jiunge na Alibaba.com na ukishapata unachokitafuta safirisha kwa Silent Ocean (GSM) Namba zao za simu ni 0746 813 813 watakuelekeza! Kwa njia hii huwezi ibiwa hata kama ni kununua njiti ya kiberiti.Naomba maelekezo jinsi ya kuagiza mwenyew kama inawezekana rafiki