Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

Hakuna watu wana madeni kama hao wanaochukua hela za watu advances n.k na kuahidi kuletea watu bidhaa toka nje ya nchi hususa China.

Yani wamekuwa full matapeli. [emoji57][emoji57]
 
Wengi hawako knowledgeable na maswala ya biashara.

Wanatamaa ya maisha ya kujirusha na show off chungu nzima [emoji108][emoji108] kwa kutumia hela za watu .

Hawajui hata jinsi ya kufanya risks profiling
 
Mtu ambae anajua maana ya biashara atahakikisha mzigo wa mtu unafika ndio afanye matumizi wengi wanaingia kichwa kichwa kutokana na kukosa ajira tu ila kusems ukweli hawajui chochote
 
Unafanikiwa vipi sajili n we chart payment ukifika china mkuu ukafungua akaunti or manake wanasheria sana Hawa viumbe
Hapana hujanifahamu mimi kuna agent wana ofisi yao ipo hapa na china. Wao ndio huwapa hela na wao ndio huwalipa hao wachina kwa kutumia WeChat mimi sina hio wechat. Nategemea umenifahamu vyema
 
Umeiweka vizuri sana. Kuna kodi zozote mzigo ukifika??
 
Umeiweka vizuri sana. Kuna kodi zozote mzigo ukifika??
Hao shipping Agent wa bongo almost wote wanakamilisha kila kitu mfano wakikwambia CBM moja ni $400 na mzigo wako ni 0.06CBM basi utalipia $24 tu yaan hapo kila kitu.
Na kama ni kwa ndege na umeambiwa kg ni $13.5 na mzigo wako ni kg 2 basi utalipia $27 hyo kila kitu, wewe utaenda tu kuchukua mzigo wako ofisini.

Ila kama unaagiza Marekani na unatumia forwading agents ujue kuna gharama utakuwa respobsible kuzilipa mzigo ukifika.
 
Duuuh, nlitaka kununua kiwanja kupitia hayo makampuni nimeshtuka.
 
Duuuh, nlitaka kununua kiwanja kupitia hayo makampuni nimeshtuka.
Vipo nilivyonunua kwenye kampuni na vipo poa havina migogoro kabisa,sio kampuni zote ni wahuni bali wapumbavu wachache.
Nilichojifunza usikubali kuuziwa kiwanja kwenye makaratasi then wanakupeleka kukuonyesha pori eti ohoo mkishalipia ndio tutaanza kusafisha na kuweka mawe na kugawa mitaa.Usikubali kuonyeshwa pori na ukanunua.Nunua viwanja ambavyo tayari eneo walishafisha wakaweka na biconi kabisa ambayo unaiona na ndio isomayo kwenye ramani,pili ukiweza nenda wizaarani kabisa kama eneo limesajiriwa kwa kampuni husika utaona then ndo unaingia mkataba.Tatu ulizia serikali husika ya mtaa au kijiji wao huwa na taarifa kuhusu kinachoendelea ikiwemo umiliki wa muhusika.
 
Huyu tapeli hana tofauti na jatu
 
Duh we ni noma
 
Jiunge na Alibaba.com na ukishapata unachokitafuta safirisha kwa Silent Ocean (GSM) Namba zao za simu ni 0746 813 813 watakuelekeza! Kwa njia hii huwezi ibiwa hata kama ni kununua njiti ya kiberiti.
Nimefanikiwa kudownload app lakin maelekezo ya jinsi ya kununua bidhaa na nin kinafanyika mpaka isafirishwe na silent ocean nmeshindwa msaada tafadhali
 
Wale tunaoagiza mzigo kwa the late Shinzo Abe tuna comment wp?
Mkuu wewe unaagizaga mizigo Japan? Mimi kuna mazaga kibao yapo Japan ila napata changamoto kwenye shipping i.e kulepeka sehemu watakayonipakilia kwa LCL...unatumia njia gani?
 
Nimefanikiwa kudownload app lakin maelekezo ya jinsi ya kununua bidhaa na nin kinafanyika mpaka isafirishwe na silent ocean nmeshindwa msaada tafadhali
Inaonesha hujajiunga (registration) tumia email yako. Na kuhusu silent ocean wasiliana na mwakilishi wao aliye China anaitwa Janeth kwa WhatsApp +86 130 6092 2422. Mpaka hapo utafanikiwa! Ukikwama nijulishe au nieleze unatafuta nini nikupee link
 
Ahsante
 
Mtu ambae anajua maana ya biashara atahakikisha mzigo wa mtu unafika ndio afanye matumizi wengi wanaingia kichwa kichwa kutokana na kukosa ajira tu ila kusems ukweli hawajui chochote
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…