Hao wafanyabiashara wa ajabu sana mimi na nunua mzigo moja kwa moja kwa mchina halafu natuma hela kwa shipping agents wangu na kumlipa kwa WeChat. Ila tokea kuanza corona mzigo unachelewa sana.
Tatizo unaficha ficha mambo taja majina mimi naanza na huyu omi_trend tz kapigwa na kupelekea kuwapiga wafuasi wake huko whatsapp toka mwaka jana jamaa alikuwa na 3 groups nazozijua mimi zote watu wanalia huko majibu hakuna