Huyo Mzee anaandamwa na laana kibao, hawezi kuwa na amani ya moyo.Leo nimemuona Kikwete pale kwenye msiba Monduli. Hali yake haikuwa ya kawaida kabisa na mwishowe aliondoka na sijui hata alipoenda.
Sasa sijui ilikuwa na tatizo la kiafya au ni kitu gani? Alikuwa hawezi kukaa kuwa utulivu kwenye kiti chake. Na sura yake ikionyesha kama vile alikuwa na maumivu flani.
Mwili wake ulikuwa una swing back and forth akiwa amekaa kwenye kitu. Na ni jambo ambalo naona kama alikuwa akishindwa kuji control. Baada ya muda kile kiti chake kilikuwa wazi kabla hata Rais hajaondoka. Kwasababu kiitifaki, hakuna anayeruhusiwa kuondoka kabla ya rais.