TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Body language specialist😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urais hauko hivyo. Hata lowasa alikosea Sasa huwezi kufanya makosa juu ya makosa. Urais siyo hisaniila yeye alimpigania akaupata uraia kwasababu ni rafiki yake, na alitumia hadi pesa yake ya mfukoni wakati huo msoga hakuwa na mihela waliyo nayo sasaivi. sema mwanadamu akipata huwa anasahau alikotoka.
Sema ccm na serikali ilifanya hayo siyo lowasa. Lowasa alikuwa msimamizi tuLowasa alifanya kazi nzuri , kanda ya ziwa wanamkumbuka kwa kutatua tatizo la maji,uanzishwaji shule za kata , alisimamia ujenzi wa taasisi ya moyo muhimbili, mloganzila, udom nk
Nadiriki kusema Tz tungeongozwa na Masai sokoine au lowasa tungekuwa mbali sana kimaendeleo .
Hawa ni watu wa maamuzi magumu .
sikia rafiki yawezekana wewe hujui,jk kwenye issue ya lowassa alifanya sawasawa na wala hana baya lolote alilofanya,sasa kuhusu haiba yake,wajihi wake,jk anaumwa kansa ya tezi dume hivi unategemea awe na nguvu vipi?,umri pia umekwenda hawezi kuwa mkakamavu,hebu tumwache jk please
Tushike lipi si wanasema bila Mkapa jpm asingekua Raisi sasa jk analaumiwa kwa lipiila yeye alimpigania akaupata uraia kwasababu ni rafiki yake, na alitumia hadi pesa yake ya mfukoni wakati huo msoga hakuwa na mihela waliyo nayo sasaivi. sema mwanadamu akipata huwa anasahau alikotoka.
Heshima aliyopata ni kwasababu ya Kikwete. Lowassa alikuwa mwizi asiyeshiba ulitaka aachwe? Yeye si wa kwanza kujiuzulu hata Warioba alipigwa chini. Rais ndiye mkuu wa nchiHakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu.
Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni kwake kapoteza nuru, furaha na bashasha. Badala yake amejaa wasiwasi, wahaka na hofu.
Nimemuangalia leo alipoinuliwa ili kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Lowasa alitembea kwa uoga na almanusura apepesuke mbele ya jeneza.
Familia ya Lowasa imewashukuru watu wengi sana lkn Kikwete hakutajwa hata kwa bahati mbaya. Yaani urafiki wake na Lowasa wakati wa ujana na uwepo wake msibani vyote vimepuuzwa. Huu ni msumari wa moto uliopigiliwa utosini kwa Kikwete.
Mwito.
Tujifunze kuishi vema na watu ili tuwe na mwisho mwema.
Lowasa ndio alifanya kikwete kuwa raisi usisahau hilo
ndio maana hata familia pale haijamshukuru wala kumtaja, pamoja na kwamba alishawahi kuwa waziri mkuu kwenye utawala wake na wametoka naye mbali tangu ujanani. you know hwy?
Mnafiki Jazz BandHakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu.
Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni kwake kapoteza nuru, furaha na bashasha. Badala yake amejaa wasiwasi, wahaka na hofu.
Nimemuangalia leo alipoinuliwa ili kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Lowasa alitembea kwa uoga na almanusura apepesuke mbele ya jeneza.
Familia ya Lowasa imewashukuru watu wengi sana lkn Kikwete hakutajwa hata kwa bahati mbaya. Yaani urafiki wake na Lowasa wakati wa ujana na uwepo wake msibani vyote vimepuuzwa. Huu ni msumari wa moto uliopigiliwa utosini kwa Kikwete.
Mwito.
Tujifunze kuishi vema na watu ili tuwe na mwisho mwema.
Unatumika vibaya wewe, kama jk alimfanya Lowassa waziri mkuu halafu familia ishukru watu wengine ambao hawakumpa hicho cheo, kwako wewe unaona kawaida.?Kikwete ni rafiki wa Hayati Lowassa au familia ya Lowassa? Asiyejua maana haambiwi maana..
Kama Kikwete na Lowassa ndio walikuwa marafiki ,familia hata imtaje au isimtaje haifuti urafiki wao na pia familia ndio inatakiwa itambue ni Kikwete ndio amefanya mzee akazikwa kwa heshima hivyo Kwa sababu ya kuteuliwa Uwaziri mkuu.
Kama utaendelea kushabikia vitu vidogo vidogo na kuacha kujadili mambo makubwa tutakuwa hatuna namna zaidi ya kukupuuza
kuna watu mnawazaKikwete ni rafiki wa Hayati Lowassa au familia ya Lowassa? Asiyejua maana haambiwi maana..
Kama Kikwete na Lowassa ndio walikuwa marafiki ,familia hata imtaje au isimtaje haifuti urafiki wao na pia familia ndio inatakiwa itambue ni Kikwete ndio amefanya mzee akazikwa kwa heshima hivyo Kwa sababu ya kuteuliwa Uwaziri mkuu.
Kama utaendelea kushabikia vitu vidogo vidogo na kuacha kujadili mambo makubwa tutakuwa hatuna namna zaidi ya kukupuuza
Uzuri au ubaya wa Kikwete huwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".Hakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu.
Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni kwake kapoteza nuru, furaha na bashasha. Badala yake amejaa wasiwasi, wahaka na hofu.
Nimemuangalia leo alipoinuliwa ili kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Lowasa alitembea kwa uoga na almanusura apepesuke mbele ya jeneza.
Familia ya Lowasa imewashukuru watu wengi sana lkn Kikwete hakutajwa hata kwa bahati mbaya. Yaani urafiki wake na Lowasa wakati wa ujana na uwepo wake msibani vyote vimepuuzwa. Huu ni msumari wa moto uliopigiliwa utosini kwa Kikwete.
Mwito.
Tujifunze kuishi vema na watu ili tuwe na mwisho mwema.
Alitibiwaga na akapona kabisa,ingekua bado tungesema yawezekana ni kansa,lakini kwa kansa,angekua ameshatangulia kabla ya Lowasa na JPM.Tezi dume bado inampeleka puta
Huyu JK atakuja kulipa tu dhuluma alizofanya kwa watu wengi including Lowassa.Hakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu.
Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni kwake kapoteza nuru, furaha na bashasha. Badala yake amejaa wasiwasi, wahaka na hofu.
Nimemuangalia leo alipoinuliwa ili kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Lowasa alitembea kwa uoga na almanusura apepesuke mbele ya jeneza.
Familia ya Lowasa imewashukuru watu wengi sana lkn Kikwete hakutajwa hata kwa bahati mbaya. Yaani urafiki wake na Lowasa wakati wa ujana na uwepo wake msibani vyote vimepuuzwa. Huu ni msumari wa moto uliopigiliwa utosini kwa Kikwete.
Mwito.
Tujifunze kuishi vema na watu ili tuwe na mwisho mwema.
Kama ulisikia hotuba ya Chegeni kule kanisani Azania na shangwe alizopigiwa na watu wote pamoja na wanafamilia, na leo ameitwa mwanafamilia. Lakini pia Bashe aliyemtemea nyongo Jk baada ya kumkaribisha tena Lowassa ndani ya CCM anavyopendwa na familia. Utaelewa familia inavyomchukulia swahiba wa zamani wa marehemu.