Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Huyu JK atakuja kulipa tu dhuluma alizofanya kwa watu wengi including Lowassa.
Mwanasiasa gani katika nchi hii ambaye hajawahi kufanya dhulma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu JK atakuja kulipa tu dhuluma alizofanya kwa watu wengi including Lowassa.
Ni kweliAlitibiwaga na akapona kabisa,ingekua bado tungesema yawezekana ni kansa,lakini kwa kansa,angekua ameshatangulia kabla ya Lowasa na JPM.
Anayetoa Urais siyo Kikwette bali ni kra za wananchi. Yeye kama Mwenyekiti wa CC ya CCM alihusika kupitisha majina 5 na kumkata Lowassa. Aliwaweka Bemard Membe, January Makamba, Magufuli, Migiro na Amina Salum.Kwa hiyo mlotaka ampe urais kisa ni rafiki yake? Thank u kikwete uliangalia maslahi mapana ya nchi kuliko kujali uswahiba nchi itumbukie shimoni japo jpm ndo alikuwa rais mbovu sana kuwahi kutokea Dunia hii
Atalipia wapi, lini na kwa mfumo upi? Akifariki sio kwamba amelipa maana kifo ni kwa wote.Huyu JK atakuja kulipa tu dhuluma alizofanya kwa watu wengi including Lowassa.
Makosa mawili hayafanyi sahihi moja.Mwanasiasa gani katika nchi hii ambaye hajawahi kufanya dhulma?
Hata akiumwa kuishi miaka 70+ na ukiwa raisi mstaafu ni zawadi.Mtu anang'ang'ania Kikwete anaumwa saratani utafikiri yeye ndiye mkewe!
Una mana Gani? Kwamba akina makamba hawana elimu ya kutisha kumpita lowasa? Kwanza lowasa kasoma fine arts.Anayetoa Urais siyo Kikwette bali ni kra za wananchi. Yeye kama Mwenyekiti wa CC ya CCM alihusika kupitisha majina 5 na kumkata Lowassa. Aliwaweka Bemard Membe, January Makamba, Magufuli, Migiro na Amina Salum.
Kama una akili utagundua kuwa January Makamba au Amina Salum hawakuwa na CV ya kumpita Lowassa
Makosa mawili hayafanyi sahihi moja.
Kwanza mwenyewe wakati ule alisema ndiyo ilikuwa inaanza na saratani ikiwa hatua za awali inatibika na kupona kabisa na hivyo ndivyo alivyofanya alifanyiwa upasuaji na ikaondolewa kabisa tokea wakati ule hajawahi kusema tena kama tatizo limerudi sasa yeye kapata wapi habari za ugonjwa! Kwamba yeye ni mkewe au daktari wake?Hata akiumwa kuishi miaka 70+ na ukiwa raisi mstaafu ni zawadi.
Anayetoa Urais siyo Kikwette bali ni kra za wananchi. Yeye kama Mwenyekiti wa CC ya CCM alihusika kupitisha majina 5 na kumkata Lowassa. Aliwaweka Bemard Membe, January Makamba, Magufuli, Migiro na Amina Salum.
Kama una akili utagundua kuwa January Makamba au Amina Salum hawakuwa na CV ya kumpita Lowassa
Ujinga ni sawa na gunia la msumari kichwani ,ukilibeba muda wowote unapata matatizo naona na wewe umeanza kupata matatizo.Ungejuwa Nani wamemuweka Kijwete kuwa Raise usingeandika huh uhari wako.
That was agreement, Lowasa ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya wanamtandao, anaanza Kikwete anakuja kumalizia Lowasa.
Mswahili wa Msoga amevunja mkataba, ataweweseka mpaka anaingia kaburini.
Itakuwa tu ni tamaa ya kuona mabaya yanamkuta JK ila katika uhalisia hakuna la ugonjwa atakalokutana nalo JK lishtue sana watu sababu uzee umeshamfikia.Kwanza mwenyewe wakati ule alisema ndiyo ilikuwa inaanza na saratani ikiwa hatua za awali inatibika na kupona kabisa na hivyo ndivyo alivyofanya alifanyiwa upasuaji na ikaondolewa kabisa tokea wakati ule hajawahi kusema tena kama tatizo limerudi sasa yeye kapata wapi habari za ugonjwa! Kwamba yeye ni mkewe au daktari wake?
Tuachane na ubishi turudi kwenye uhalisia na turudi 2005 ,ushawishi ule wa JK ulitengenezwa na Lowassa ? Najua hii ni stori ya kijiweni ambayo mpaka kesho inasemwa hivyoLowasa ndio alifanya kikwete kuwa raisi usisahau hilo
Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu, hiki kiumbe kiitwacho 'binadamu' kiache kama kilivyo....utachanganyikiwa.Tushike lipi si wanasema bila Mkapa jpm asingekua Raisi sasa jk analaumiwa kwa lipi