Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

Huyo Mzee anaandamwa na laana kibao, hawezi kuwa na amani ya moyo.
 

Kweli, familia ya Mzee Lowassa haijamtaja kabisa kabisa Mzee Kikwete, watu wengi mno wamepewa shukrani za kipekee, ila Mzee JK hata kutajwa hakuna, dah

Kikubwa cha kushukuru Mzee JK nae anajua sana uvumilivu na kulinda ulimi wake..!!
 
Mkuu, hivi umewahi kumsaliti rafiki yako, rafiki aliyejitoa maisha yake kukusaidia kwa kila namna kutimiza ndoto yako? Ni mambo ya kawaida sana kibinaadamu kusalitiana ila maumivu yake ni pale rafiki yako anapotangulia kufa na hamkuwa vizuri sana au hamkuwahi kuombana msamaha.

Kibinadamu, hata kwa kujikaza vipi, Jk hawezi kuwa na amani tena. Na inaonekana kama wale marafiki zake wote wamemtema, ulimsikia Rostam akimzungumzia Lowassa na sababu ya kuondoka kwake CCM?
 
Kafanya nini kwani Kikwete?
 
Aisee,ila siasa bhana
 
Ndugu unatetea hata ambavyo havitetewi. Unakimbilia tezi dume.Ahaa!! Mpaka msoga mseme, bado!!
 
Ungejuwa Nani wamemuweka Kijwete kuwa Raise usingeandika huh uhari wako.

That was agreement, Lowasa ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya wanamtandao, anaanza Kikwete anakuja kumalizia Lowasa.

Mswahili wa Msoga amevunja mkataba, ataweweseka mpaka anaingia kaburini.
 
Maamuzi ya ukubwa wa msiba ule yako chini ya rais. Huo msiba umefanya kisiasa. Ndio maana shughuli nzima imefanyika kiserikali serikali. Wakati wote serikali na chama hakuna mahali wananchi walipewa nafasi ya maana.
Mnakumbuka Mengi alipokufa. Wananchi walikimbia njia nzima wakiusindikiza mwili.
Hizo hotuba zinaangaliwa mara mbili mbili kabla ya kutolewa. Mbowe hakukosea kulalamika. Ina maana hata familia yale haijui kuhusu kugombea kwake kupitia chadema?
La kujua upende usipende. Hakuna rais dunia anapenda kuzidiwa (outshinned), hata system ya kiserikali haikubali.
Mengine tuyaache yapite
 
R.I.P Lowassa
Ila hakutakiwa kuwa Rais...God knows better
 
Inasemekana ni issue ya tezi dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…