Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua.
Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo. Walipanga kuanza msiba wa Said baada ya kumalizika msiba wa Swalha.
Najiuliza, hii familia mtoto wao aliyeolewa hayupo na marehemu hawakuwa na mtoto wa pamoja. Familia ya ukeni inapata wapi mandate ya kuiweka nje familia ya mume kufika kwenye msiba wa mtoto wao nyumbani kwake?
Usikute ndoa ilikuwa inaendeshwa kwa rimoti, na rimoti ilishikwa na mama mkwe.
Anyways wajaluo wamesema wanasubiri wamalize maziko kwanza warudi waelezwe vizuri.
Pia, soma=> Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI