Tatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.
Siyo bure jamaa kuna walimfanyia kwa lengo la kutaka kumiliki mali na matokeo yake kikawageuka ndo jamaa kaamua kuharibu mfumo mzima wa makombora. Ukimsilikiza mama wa marehemu kuna siku usiku wa makuta kitu kama sanda getini, usiku huo huo baba mkwe akawa amepata waganga na kuwaleta kuja kuosha mji.
Wengi wanajaribu kumlaumu huyu mtu lakini kuna mambo mengi amepitia, kifupi hii familia ilijiandaa kumfilisi na si lolote si ajabu wanajaribu kungángánia nyumba na gari. Vishemeji vilishazoea kuzurura na gari mjini sasa vinarudi kupanda bodaboda roho zinauma.