Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

Mimi Namlaum said kwa kuwa alishaamua angemchukuwa mke na hao shemeji zake mpaka kwa wazazi wao halafu kawafumua bongo wote halafu ndio akajimaliza na yeye kama yule mjeshi wa Mbezi, aliyemchukuwa yule mtangazaji mpaka kwa mamake akafika akawafumua wote

Mimi namlaumu Side kama alishaamua kujilipua alipaswa kuwabeba wote kwenye gari mpaka kwao akijifanya mshikaji halafu kufika tu pale kwao anawalipua wote nyumba nzima halafu ndo yeye. Kama ilivyokuwa kwa yule MJESHI alivomfanya yule dada wa ITV
Huyo Said wako ana matatizo ya Afya ya akili. Kisa cha kumuua mke na yeye kujiua amepata faida gani?
 
We
Wala hakuwa mume wake. Alikuwa boyfriend tu
Sikiliza vizuri mama mzazi wa saidi anasema walifunga ndoa 30 dec.2021 na ndoa yao ina miezi mitano tu na sherehe walisherehekea nyumbani kwao kwa kina saidi ila hawakuwa na mtoto.
 
Tatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.

Siyo bure jamaa kuna walimfanyia kwa lengo la kutaka kumiliki mali na matokeo yake kikawageuka ndo jamaa kaamua kuharibu mfumo mzima wa makombora. Ukimsilikiza mama wa marehemu kuna siku usiku wa makuta kitu kama sanda getini, usiku huo huo baba mkwe akawa amepata waganga na kuwaleta kuja kuosha mji.

Wengi wanajaribu kumlaumu huyu mtu lakini kuna mambo mengi amepitia, kifupi hii familia ilijiandaa kumfilisi na si lolote si ajabu wanajaribu kungángánia nyumba na gari. Vishemeji vilishazoea kuzurura na gari mjini sasa vinarudi kupanda bodaboda roho zinauma.
Wanaume bana yaani akajihamishia ukoo hapo na bado hakupendwa!
 
Yule mwamba kakosea, angempa talaka tu, yule sal.. uzuri na kupenda starehe.
Angempa taraka bado mke angekuwa na haki kwenye kugawana mali,na pia angempa taraka bado angekuwa anaumia rohoni kila amuonapo ama asikiapo story za mkewe mtaraka
 
Huyo Said wako ana matatizo ya Afya ya akili. Kisa cha kumuua mke na yeye kujiua amepata faida gani?
akili wameharibu warangi ndo maana akamua kulipua system ya kurushia makombora naye kujilipua, hakuna alichopoteza, huyo malaya hayupo tena na SIDE hayupo, hivo SIDE katuokoa sisi wananaume wengine ambao tungeangushiwa kitu kizito, uliona wapi ndoa ya miezi mitano tayari familia nzima imeamia kwa shemeji, wameshajifundisha gari na kuendesha wanajua, alafu mwenye hela zake analalia jamvi huko kisiwani na ajisaidia porini kama Ngedere alafu machawa wanakula na kulala na bado hawamheshimu.
Angesema ampe talaka angeumia zaidi na huyo mwanamke angeendelea kuleta shida kwa wanaume wengine. Dawa ya chawa ni kunyoa kipara cha wembe, shwain
 
Kuna jamii sio za kuoa kabisa na ukioa kakae nae mbali huko.Unaoa Lindi halafu unaenda kuishi Kalema huko Mkoa wa Katavi.Kwa hiyo msibani hata ubwabwa hawajampa ale kidogo
 
Back
Top Bottom