DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
Asanteeeee, hayo ndio maneno sasa.
Shida si inasemekana mwanaume alimjengea huyo mwanamke nyumba 3, inawezekana hiyo ni mojawapo ya nyumba ya huyo mwanamke ndio maana ndugu zake wanamkazia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteeeee, hayo ndio maneno sasa.
Asanteeeee, hayo ndio maneno sasa.
Shida si inasemekana mwanaume alimjengea huyo mwanamke nyumba 3, inawezekana hiyo ni mojawapo ya nyumba ya huyo mwanamke ndio maana ndugu zake wanamkazia.
Mapenzi upofu mkuu, huenda alishammilikishaga, si umeona ndugu wa kikeni wamekuwa na ujasiri wa kuwalaza wa kiumeni njeNyumba alijenga akiwa na mzazi mwenzie wa mwanzo mkuu kabla ya Swalha
ingia you tube utawapata wote, wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wamehamia kwenye shemejiMkuu nje ya mada... unaweza kupata walau ka picha ka huyo mdogo wake marehemu?☺️
nenda you tube utawakuta wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wanaishi kwa shemeji, hawakuwa hata na ndoto ya kumiliki bodaboda wakajikuta wanasukuma ndinga rock city. Wakasahau SIDE ni kutoka kanda MAARUMMkuu nje ya mada... unaweza kupata walau ka picha ka huyo mdogo wake marehemu?☺️
Side mkurya?ingia you tube utawapata wote, wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wamehamia kwenye shemeji
nenda you tube utawakuta wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wanaishi kwa shemeji, hawakuwa hata na ndoto ya kumiliki bodaboda wakajikuta wanasukuma ndinga rock city. Wakasahau SIDE ni kutoka kanda MAARUM
JaluoSide mkurya?
mama wa marehemu yupo, kuna nini cha thamani kuliko uhai wa hao wawili? mama wa marehemu anahani msiba akiwa nje ya nyumba ya marehemu mwanae kisa kuna vitu vya kuibiwa? upande wa kina Side wasiwape nafasi hao maskini wa roho, wakienda kuzika waache ulinzi mtu asitie mguu hapo, wabaki na funguo lakini wasikanyage ndani, kameolewa kana miezi mitano ndugu wanataka kutaifisha nyumba na gari, ingeingia akilini kama Side angeua akabaki hai. Wao wanauchungu kuliko mama Saidi ambaye mtoto wake amejiua kwa sababu ya udangaji wa mwamamke? hivi mnaujua msoto wa kisiwani nyie? alafu mtu anakuxingua na maushirikina yake mara nini, huoni ajabu watu wamekuta shiriki nyumbani ucku tayari mtoto wa kike kampigia baba simu, na usiku huo huo baba kapata wataalaamMimi nilikuwa nawaza tu, hivi huo upande wa akina baba wakipewa ufunguo na nyumbani wenyewe hawapo tena, hivo vitu ndani ya nyumba vitakuwa salama?
Mume na mke wote hawapo kwenye nyumba heee kila mtu anajichukulia anachopenda! huo ni ukweli tupende tusipende.
Uko poa upstairsMtoto wa kike ukishaolewa ukajifanya bado unasikiliza mama yako lazima uangukie pua.
Wamama wengi wanaangalia maslahi ya mume aliyekuoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msiba ukiisha ugomvi unahamia kwenye kugawana mali...
Na warangi walivyo wanapenda vya bwerere, hapo watauana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watawafurusha wote.Hawa maskini hata wakiachiwa hizo nyumba, magari na kila kitu wape mwaka moja tu wanarudi kwenye umaskini wao maana hawana akili na hawajui kutafuta hela. Ila Musoma line nawaelewa ngoja wamalize kuzika wakirudi hapo ni mapanga tu.