Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wanawekeza sana kwenye mapenzi yatawamalizaHaya tumeona.
Haya mapenzi yatawamaliza vijana
Mimi kuna kipindi nilitamani kumtongoza kidogo tu, wanakera sana, wanakuja kukuharibia utaratibu wako wa Maisha yaani.Sina uhakika na hii habari lakini wamama wamama wamama narudia tena wamama au wakwe wakwe wakwe, wanawaponza sana mabinti zao. Binti kichwa kitupu. Anamsikiliza mama yake anaamua kuharibu ndoa yake maksudi. Order zinatoka ukweni ww baba unakuwa ndio kama imeolewa. Haaaaa! Nilitaka kuua mke kwa sababu ya huu upumbavu. Nashukuru Mungu niliepuka hili. Ila wamama jamani wamama wamama wamama.......
Ndo maana ma-mama mengi siku hizi yanaishia kutombw*a na ma-son in law
Sina uhakika na hii habari lakini wamama wamama wamama narudia tena wamama au wakwe wakwe wakwe, wanawaponza sana mabinti zao. Binti kichwa kitupu. Anamsikiliza mama yake anaamua kuharibu ndoa yake maksudi. Order zinatoka ukweni ww baba unakuwa ndio kama imeolewa. Haaaaa! Nilitaka kuua mke kwa sababu ya huu upumbavu. Nashukuru Mungu niliepuka hili. Ila wamama jamani wamama wamama wamama.......
Ndo maana ma-mama mengi siku hizi yanaishia kutombw*a na ma-son in law
Tatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua.
Najiuliza, hii familia mtoto wao aliyeolewa hayupo na marehemu hawakuwa na mtoto wa pamoja. Familia ya ukeni inapata wapi mandate ya kuiweka nje familia ya mume kufika kwenye msiba wa mtoto wao nyumbani kwake?
Usikute ndoa ilikuwa inaendeshwa kwa rimoti, na rimoti ilishikwa na mama mkwe.
Pia, soma=> Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
View attachment 2246821
Tabia za hawa wazazi ndizo zilizopelekea mtoto wao kuuawa. Sasa kama wanataka kung'ang'ania Mali ambacho ndicho kitu kinachojidhihirisha hapa, wataambulia risasi nyingi kutoka Kwa baba wa Said.Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua.
Najiuliza, hii familia mtoto wao aliyeolewa hayupo na marehemu hawakuwa na mtoto wa pamoja. Familia ya ukeni inapata wapi mandate ya kuiweka nje familia ya mume kufika kwenye msiba wa mtoto wao nyumbani kwake?
Usikute ndoa ilikuwa inaendeshwa kwa rimoti, na rimoti ilishikwa na mama mkwe.
Pia, soma=> Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
View attachment 2246821
Mwanamke ndo alikuwa mrangi au mwanaume?Msiba ukiisha ugomvi unahamia kwenye kugawana mali...
Na warangi walivyo wanapenda vya bwerere, hapo watauana.
Mpaka mdogo wa marehemu wa kike alikuwa kahamia kwa shemeji ili wadange vizuri na Dada yake.Usikute ndoa ilikuwa inaendeshwa kwa rimoti, na rimoti ilishikwa na mama mkwe.
NA NDIO TATIZO KUU KWENYE NDOA ZA SASA
Hapo inaonekana kuna mpango ulishaanza kupangwa na familia ya mke demu aachike shida hivyo vijumba na vigari ndio vimewapa tamaa.Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua.
Najiuliza, hii familia mtoto wao aliyeolewa hayupo na marehemu hawakuwa na mtoto wa pamoja. Familia ya ukeni inapata wapi mandate ya kuiweka nje familia ya mume kufika kwenye msiba wa mtoto wao nyumbani kwake?
Usikute ndoa ilikuwa inaendeshwa kwa rimoti, na rimoti ilishikwa na mama mkwe.
Pia, soma=> Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
View attachment 2246821
Lakini pia kuna ma mama mengine yanaingilia ndoa za vijana wa kiume kwa kumpelekesha makamwana! Mi mama ya hivi hovyo kabisa!Sina uhakika na hii habari lakini wamama wamama wamama narudia tena wamama au wakwe wakwe wakwe, wanawaponza sana mabinti zao. Binti kichwa kitupu. Anamsikiliza mama yake anaamua kuharibu ndoa yake maksudi. Order zinatoka ukweni ww baba unakuwa ndio kama imeolewa. Haaaaa! Nilitaka kuua mke kwa sababu ya huu upumbavu. Nashukuru Mungu niliepuka hili. Ila wamama jamani wamama wamama wamama.......
Ndo maana ma-mama mengi siku hizi yanaishia kutombw*a na ma-son in law
Mkuu nje ya mada... unaweza kupata walau ka picha ka huyo mdogo wake marehemu?☺️Mpaka mdogo wa maehemu wa kike alikuwa kahamia kwa shemeji ili wadange vizuri na Dada yake.