Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

Mimi kuna kipindi nilitamani kumtongoza kidogo tu, wanakera sana, wanakuja kukuharibia utaratibu wako wa Maisha yaani.
 

Vyovyote vile umleavyo mtoto unachangia kuijenga au kuibomoa ndoa yake.
 
Tatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.

Siyo bure jamaa kuna walimfanyia kwa lengo la kutaka kumiliki mali na matokeo yake kikawageuka ndo jamaa kaamua kuharibu mfumo mzima wa makombora. Ukimsilikiza mama wa marehemu kuna siku usiku wa makuta kitu kama sanda getini, usiku huo huo baba mkwe akawa amepata waganga na kuwaleta kuja kuosha mji.

Wengi wanajaribu kumlaumu huyu mtu lakini kuna mambo mengi amepitia, kifupi hii familia ilijiandaa kumfilisi na si lolote si ajabu wanajaribu kungángánia nyumba na gari. Vishemeji vilishazoea kuzurura na gari mjini sasa vinarudi kupanda bodaboda roho zinauma.
 
Tabia za hawa wazazi ndizo zilizopelekea mtoto wao kuuawa. Sasa kama wanataka kung'ang'ania Mali ambacho ndicho kitu kinachojidhihirisha hapa, wataambulia risasi nyingi kutoka Kwa baba wa Said.

Polisi ingilieni Kati hapo mauaji mengine yananukia!!
 
Hapo inaonekana kuna mpango ulishaanza kupangwa na familia ya mke demu aachike shida hivyo vijumba na vigari ndio vimewapa tamaa.
 
Lakini pia kuna ma mama mengine yanaingilia ndoa za vijana wa kiume kwa kumpelekesha makamwana! Mi mama ya hivi hovyo kabisa!
 
Kuepusha kero na shida busara ingetumika aamue tu kuacha hasira zinaweza kutumika wakajikuta wanachimba kaburi lingine...

Busara inahitajika sana husasun wakati kama huu
 
Mama Side ni mama wa vijana wote wanaoteswa na mapenzi.
 
Nguvu za giza ndizo chanzo cha yote hayo. "shirki" ni mbaya sana. Pande zote -ke na -me hawana Mungu wa kweli, ndiko shida kuu iliko. Njooni kwa Yesu muokolewe vinginevyo mtaangamizwa na adui shetani.

YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…