Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

Asanteeeee, hayo ndio maneno sasa.

Shida si inasemekana mwanaume alimjengea huyo mwanamke nyumba 3, inawezekana hiyo ni mojawapo ya nyumba ya huyo mwanamke ndio maana ndugu zake wanamkazia.

Nyumba alijenga akiwa na mzazi mwenzie wa mwanzo mkuu kabla ya Swalha
 
Nyumba alijenga akiwa na mzazi mwenzie wa mwanzo mkuu kabla ya Swalha
Mapenzi upofu mkuu, huenda alishammilikishaga, si umeona ndugu wa kikeni wamekuwa na ujasiri wa kuwalaza wa kiumeni nje
 
Sishauri mtu KUOA ila nyie msio na masikio acha niwashauri Jambo...

Ukiona mke wako umemuoa na bado anaendelea kupokea orders kutoka kwao, yeye kila siku anaenda kwao, kila mtakalo zungumza lazima aweke arguments akilinganisha na alichoambiwa kwao, Jitahidi kwa nguvu zako zote ukomeshe hio hali mara tu utapoona imejitokeza na ikishindikana basi nenda mrudishe mtoto wao ili waendelee kukaa nae...

Mwenye masikio na asikie hili, silazimishi yeyote.
 
Hawa maskini hata wakiachiwa hizo nyumba, magari na kila kitu wape mwaka moja tu wanarudi kwenye umaskini wao maana hawana akili na hawajui kutafuta hela. Ila Musoma line nawaelewa ngoja wamalize kuzika wakirudi hapo ni mapanga tu.
 
Baada ya mazishi rpc na kikosi chake awahi eneo la tukio.
 
Hawa jamaa wameyamaliza kwa style ya aina yake. Kila mtu abebe furushi lake
 
Sekeseke litaanzia mahakamani ili upande wa pili utaifishe Mali za upande mwingine/fidia, kitu ambacho pengine kitapelekea Haki za watoto wa Said kama wapo kukosa chochote.

Ni jambo la muda, kuna wakati unaweza fikiria pengine Kuna jambo baya lilipangwa kabla ya mauti ya wawili hao.

Vyombo vya dola nina hakika watafanzia kazi kwa mujibu wa Sheria.
 
Mkuu nje ya mada... unaweza kupata walau ka picha ka huyo mdogo wake marehemu?☺️
ingia you tube utawapata wote, wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wamehamia kwenye shemeji
Mkuu nje ya mada... unaweza kupata walau ka picha ka huyo mdogo wake marehemu?☺️
nenda you tube utawakuta wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wanaishi kwa shemeji, hawakuwa hata na ndoto ya kumiliki bodaboda wakajikuta wanasukuma ndinga rock city. Wakasahau SIDE ni kutoka kanda MAARUM
 
Side mkurya?
 
Mimi nilikuwa nawaza tu, hivi huo upande wa akina baba wakipewa ufunguo na nyumbani wenyewe hawapo tena, hivo vitu ndani ya nyumba vitakuwa salama?

Mume na mke wote hawapo kwenye nyumba heee kila mtu anajichukulia anachopenda! Huo ni ukweli tupende tusipende.
 
mama wa marehemu yupo, kuna nini cha thamani kuliko uhai wa hao wawili? mama wa marehemu anahani msiba akiwa nje ya nyumba ya marehemu mwanae kisa kuna vitu vya kuibiwa? upande wa kina Side wasiwape nafasi hao maskini wa roho, wakienda kuzika waache ulinzi mtu asitie mguu hapo, wabaki na funguo lakini wasikanyage ndani, kameolewa kana miezi mitano ndugu wanataka kutaifisha nyumba na gari, ingeingia akilini kama Side angeua akabaki hai. Wao wanauchungu kuliko mama Saidi ambaye mtoto wake amejiua kwa sababu ya udangaji wa mwamamke? hivi mnaujua msoto wa kisiwani nyie? alafu mtu anakuxingua na maushirikina yake mara nini, huoni ajabu watu wamekuta shiriki nyumbani ucku tayari mtoto wa kike kampigia baba simu, na usiku huo huo baba kapata wataalaam
 
Msiba ukiisha ugomvi unahamia kwenye kugawana mali...

Na warangi walivyo wanapenda vya bwerere, hapo watauana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa maskini hata wakiachiwa hizo nyumba, magari na kila kitu wape mwaka moja tu wanarudi kwenye umaskini wao maana hawana akili na hawajui kutafuta hela. Ila Musoma line nawaelewa ngoja wamalize kuzika wakirudi hapo ni mapanga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watawafurusha wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…