Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie
Andaa Cv yako vizuri, peleka sehemu zote unazoweza kuajirika.
Usitangulize pesa,.
Muombe Mungu.

Hata kwenye huu uzi ungeweza kujielezea vizuri.
Watu waone utofauti wako na mtu mwingine aliyesoma Uhasibu.
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam natafuta kazi😭naombeni msaada wenuu ndugu watanzania 0713776534
Ungetoa na vigezo vya hiyo kazi unayotafuta.
Sasa ukisema unatafuta kazi halafu ukaishia hapo humu jf kila mtu ana kazi. Mfàno mimi ninafyatua matofali, anayeomba kazi ya kufyatua tofati ndo nazingatia kumpigia.
 
Kama upo Dar wa Salaam, ukikosa huko kazi, nenda TaESA. Ofisi zao zipo mkabala na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Watakusaidia suala lako au kupata Internship.

Kila la heri.
 
Noma noma... lakini usikonde.

Zipo wavuti (websites) kadhaa ambazo zinatoa matangazo ya kazi daily... Kuwa unazipitia na ukiweza subscribe kupata eMail updates (specific kwa aina ya kazi unazozitaka) itakurahisishia.. ukiweza kujiunga ana telegram au whatsapp channels zao, ni added advantage kwako.
  1. Kazi Portal (Ajira Serikalini na Kampuni / Taasisi binafsi)
  2. Ajira Portal (Ajira Serikalini na Taasisi binafsi) Tovuti ya Mtu binafsi
  3. Ajira Portal ya PSRS - Website rasmi ya ajira serikalini, applications... etc.
  4. Mambumbe .com.
  5. Zan Ajira Website rasmi ya ajira serikalini, applications... etc.(Zanzibar).
  6. Ajira Yako .co.tz
  7. Nakadhalika.
Kwa grupu za whatsapp unaweza cheki hii hapa in popular na inashare updates daily.
  1. Creed AJIRA PORTAL | WhatsApp Channel

Cheki websites hizi usikae kizembe.
  1. Kazi Portal (Ajira Serikalini na Kampuni / Taasisi binafsi)
  2. Ajira Portal (Ajira Serikalini na Taasisi binafsi) Tovuti ya Mtu binafsi
  3. Ajira Portal ya PSRS - Website rasmi ya ajira serikalini, applications... etc.
  4. Mambumbe .com.
  5. Zan Ajira Website rasmi ya ajira serikalini, applications... etc.(Zanzibar).
  6. Ajira Yako .co.tz
  7. Nakadhalika.
Whatsapp channel unaweza cheki hii hapa chini ni 👇 popular na inashare updates daily.
  1. Creed AJIRA PORTAL | WhatsApp Channel

Back
Top Bottom