Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngorongoro itamalizwa na makazi ys watu mle ndani ,ingawa wengine wanasema ni tofauti na mbuga zingine ile conservation area lakini maana ya conservation si imetengenezwa tu na watu ,maana kama leo hii mikumi pataachwa watu watasogea hivo hivo taratibu hadi ndani ya mbuga . Ukiangalia mikumi pale Doma mashamba ya mahindi yanaliwa kila mwaka na tembo wanatokea hifadhini,watu wakilalamika wanaambiwa watoke karibu na mbuga ,na mnyama ukimgusa inakula kwako.
Leo wamasai wanakaa ndani ya mbuga kwani wana hadhi tofauti na watanzania wengine? Wengine wanasema wamasai wao wenyewe mle ndani ni kivutio kwa watalii lakini hata nje ya mbuga wanaweza wakafuatwa ,maana ukiangalia kwa mtalii karibia vile vjijiji vyote kuanzia karatu ni mvuto tosha ,pia ukiangalia watalii wanatoka nje wanaenda ziwa manyara kuangalia kabila la Hadzabe wanavyoishi na hapo ndani ya mbuga ,sasa wamasai wana uspecial gani sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Selous ni game reserve kuna tofauti kati ya National Parks, Game Reserves, na Conservation Areas.Hata Selous ilikuwa conservation area mpaka sasa kama sikosei,mbona hamna wamasai au watu wanafuga huko na wameweka makazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
... nakubaliana na wewe kwa 100%.
Tatizo kubwa tulilo nalo nchi zetu hizi utakuta move yote hiyo kuna hila ndani yake;
Utashangaa wanawaondoa hao wamasai ili kupisha wenye fedha waweze kuwinda vizuri!
Sasa mkuu jangwani utalinganisha na nchi yetu kweli? Raia watakaaje jangwani mwamba? Halafu Botswana ina karibia kuingia mara 2 kwenye nchi yetu!Botswana yenye almost eneo kama la kwetu wana only 6M people's na wanyama wengi kuliko idadi ya watu ila wana coexistence bila shaka
NI MWarabu yupi anamiliki ngorongoro tufahamishe tumfahamu?Umelipwa shs ngapi na mwaarabu kuwa hamisha wamasai?
Wote ni nyaraKwani Wamasai na hao wanyama wa mbugani wana tofauti gani?
Sasa mwarabu ni race au ni dini? Mbona na wewe ni mjinga kiasi hiki?mbona mawindo yapo kila mwaka kila raia anaruhusiwa kuwinda mwezi wa 7 na unapangiwa wanyama wa kuwinda na wasizidi kiasi fulani kutokana na ongezeko la wanyama mtindo wa kuwinda upo miaka yote na mataifa yote huja kuwinda sasa kukazania waarabu tuu ni chuki za kidini au nini?
😂😂Sasa mwarabu ni race au ni dini? Mbona na wewe ni mjinga kiasi hiki?
Wewe unachanganya madawa. Hiyo mifano unayotoa huko kwingine kote ni tofauti na Ngorongoro. Ngorongoro wanyama na binadamu wameishi pamoja kwa muda mrefu sana. Hilo eneo wamasai wamekuwepo kwa muda mrefu sawa na wanyama. Ni kweli kwamba wamasai wameongezeka idadi na hawawezi kuendelea kukaa pale wote milele. Utaratibu ufanywe wapewe elimu na wahamishwe kwa staha. Wakubaliane na serikali kuwa idadi ya watakaobaki iwe ndogo. Tatizo kubwa lipo kwa serikali na wanaopiga debe wamasai wahamishwe. Serikali imetumia mbinu za janja janja kukabiliana na hili jambo. Kwa nini itafute wamasai bandia waseme kuwa wamekubali kuhama? Kwa nini ''waandishi'' wa habari uchwara kama kina Kitenge walivalia njuga hili jambo kiasi cha kuhonga waandishi wengine eti wasapoti uhamaji? Hapo inatupeleka kwenye hofu kuu ya watu wengi: awamu hii ina elements za ufisadi na upigaji nyingi, je, kuna namna nyuma? Je, ni kweli kwamba kuna watu wanataka kupewa hayo maeneo na ndiyo wanashinikiza? All in all, hili jambo siyo kubwa kama inavyodhaniwa kama serikali ingetumia uwazi na ukweli kulishughulikuia.Hata Selous ilikuwa conservation area mpaka sasa kama sikosei,mbona hamna wamasai au watu wanafuga huko na wameweka makazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamasai ni binadamu, wana usaarabu wao wa kibinadamu ambao unaathiri wanyamaKwani Wamasai na hao wanyama wa mbugani wana tofauti gani?
Ila wanaopinga hawatoi hoja hizo, wanasema Wamasai hawatakiwi kuhamishwa sababu ni makazi yao walipewaWewe unachanganya madawa. Hiyo mifano unayotoa huko kwingine kote ni tofauti na Ngorongoro. Ngorongoro wanyama na binadamu wameishi pamoja kwa muda mrefu sana. Hilo eneo wamasai wamekuwepo kwa muda mrefu sawa na wanyama. Ni kweli kwamba wamasai wameongezeka idadi na hawawezi kuendelea kukaa pale wote milele. Utaratibu ufanywe wapewe elimu na wahamishwe kwa staha. Wakubaliane na serikali kuwa idadi ya watakaobaki iwe ndogo. Tatizo kubwa lipo kwa serikali na wanaopiga debe wamasai wahamishwe. Serikali imetumia mbinu za janja janja kukabiliana na hili jambo. Kwa nini itafute wamasai bandia waseme kuwa wamekubali kuhama? Kwa nini ''waandishi'' wa habari uchwara kama kina Kitenge walivalia njuga hili jambo kiasi cha kuhonga waandishi wengine eti wasapoti uhamaji? Hapo inatupeleka kwenye hofu kuu ya watu wengi: awamu hii ina elements za ufisadi na upigaji nyingi, je, kuna namna nyuma? Je, ni kweli kwamba kuna watu wanataka kupewa hayo maeneo na ndiyo wanashinikiza? All in all, hili jambo siyo kubwa kama inavyodhaniwa kama serikali ingetumia uwazi na ukweli kulishughulikuia.
Botswana 🇧🇼 ni jangwa?ila wametumia akili na mipango iliyosafi kujenga nchi yao, President Nyerere anasoma UK na President Khama naye amesoma UK, legacy gani wameziachia nchi zao?,Tanzania tunaongezeka kwa 3%to4%,Botswana wao ni 0.4%,maisha bora kwa raia wakeSasa mkuu jangwani utalinganisha na nchi yetu kweli? Raia watakaaje jangwani mwamba? Halafu Botswana ina karibia kuingia mara 2 kwenye nchi yetu!
Mkuu umesoma Jografia ya shule ya msingi wewe? Unalijua jangwa la Kalahari? Ingia basi kwenye ramani ya Afrika uangalie!! Karibia mchi mzima ya Botswana imefunikwa na jangwa!Botswana 🇧🇼 ni jangwa?
Hata mi jambo la kuhamasisha wamasai sioni tatizo ila mbinu inayotumika ndo inatia mashaka ,ni kama wanaondolewa kwa nguvu ili wawekezaji wachukue maeneo ,na ikiwa ni hivo heri wamasai wabaki maana hamna tofauti unaondoa watu halafu unaingiza wengine kwa maslahi yakoWewe unachanganya madawa. Hiyo mifano unayotoa huko kwingine kote ni tofauti na Ngorongoro. Ngorongoro wanyama na binadamu wameishi pamoja kwa muda mrefu sana. Hilo eneo wamasai wamekuwepo kwa muda mrefu sawa na wanyama. Ni kweli kwamba wamasai wameongezeka idadi na hawawezi kuendelea kukaa pale wote milele. Utaratibu ufanywe wapewe elimu na wahamishwe kwa staha. Wakubaliane na serikali kuwa idadi ya watakaobaki iwe ndogo. Tatizo kubwa lipo kwa serikali na wanaopiga debe wamasai wahamishwe. Serikali imetumia mbinu za janja janja kukabiliana na hili jambo. Kwa nini itafute wamasai bandia waseme kuwa wamekubali kuhama? Kwa nini ''waandishi'' wa habari uchwara kama kina Kitenge walivalia njuga hili jambo kiasi cha kuhonga waandishi wengine eti wasapoti uhamaji? Hapo inatupeleka kwenye hofu kuu ya watu wengi: awamu hii ina elements za ufisadi na upigaji nyingi, je, kuna namna nyuma? Je, ni kweli kwamba kuna watu wanataka kupewa hayo maeneo na ndiyo wanashinikiza? All in all, hili jambo siyo kubwa kama inavyodhaniwa kama serikali ingetumia uwazi na ukweli kulishughulikuia.
Hao watu wanaosema wamasai wataondolewa ili wapewe wawekezaji wana ushahidi wowote au ni hisia tu?Hata mi jambo la kuhamasisha wamasai sioni tatizo ila mbinu inayotumika ndo inatia mashaka ,ni kama wanaondolewa kwa nguvu ili wawekezaji wachukue maeneo ,na ikiwa ni hivo heri wamasai wabaki maana hamna tofauti unaondoa watu halafu unaingiza wengine kwa maslahi yako
Sent using Jamii Forums mobile app