Msigwa amhoji Tundu Lissu kupinga Wamasai kuhamishwa Ngorongoro, Lissu akosa majibu

... nakubaliana na wewe kwa 100%.

Tatizo kubwa tulilo nalo nchi zetu hizi utakuta move yote hiyo kuna hila ndani yake;

Utashangaa wanawaondoa hao wamasai ili kupisha wenye fedha waweze kuwinda vizuri!
NGORONGORO hairuhusiwi kwa mtu yeyote kufanya mawindo ya mnyama yoyote yule
 
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.

So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.

Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.

Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,

Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.

Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.

Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea

So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida

Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima

Hizo athari zimetokea overnight hadi muwahamishe kwa lazima?Hiyo ni Ardhi yao asilia kabla ya ujio Wa wazungu
/ukoloni.Serikali makini ingeshakuwa na mipango ya muda mfupi,kati na mrefu Wa uendelezaji Wa uhifadhi.Kama Ngorongoro imezidiwa na idadi ya watu,ushirikishwaji Wa jamii husika in muhimu ili kupata ufumbuzi Wa pamoja.Hata kama suala la kuhamishwa likionekaba litasidia liwe shirikishi ila Ngorongoro bila Wamasai pia haitakuwa na mvuto ilionao Sasa.
Watanzania bado sana,tunanyanyaswa na serikali halafu wengine wetu tunashangilia?Ndiyo maana uonevu hauwezi Keisha nchi hii.Maumivu kwa mmoja wetu yangetuamsha kwamba wakimalzana naye nasi zamu yetu yaja.Mtesi hana Rafiki.
 
KWA hiyo swala
ngongoro ni chadema vs chadema au ni serekali vs wanangorongoro,

Yaani ccm mnaogopa cdm Hadi mambo yasiyoihusu cdm mnaibagaza

Ulisbindwa nini kuandika msigwa akuliana selikali au lissu awatetea wana ngorongoro?
 
Msigwa anatetea hoja zake kwa mantiki, ana point ya kufikirisha
Wanaosema Wamasai wanaonewa hawatoi mbadala wa nini kifanyike

Kikubwa katika mjadala ni Msigwa na Tundu Lisu kuwa na mitazamo tofauti bayana kwa kuheshimiana. Mijadala kama hii inajenga demokrasia na ina afya kwa nchi.

JokaKuu Fundi Mchundo
Msigwa yuko sahihi kwenye hili.

Amandla...
 
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
Wataje hao wanaharakati na wanasiasa uliowauliza na mimi niweze kuulizia misimamo yao
.
nione kama nitafikia kuona kama hoja zao zinashika, zaidi ya hayo ni kama blaha blaha zako tu.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.
Hayo juu, ya kuwa walipewa ruhusa ya kuishi ni potofu. Wamasai ni wakazi wa maeneo hayo mpaka hata mlima pembezoni yao unaitwa Oldonyo Longai. Kwa mwananchi wa Tanzania au wakuja wowote yule akiwaamepewa "ruhusa" ya kukaa sehemu hawezi kurupuka na kuamua tu abadilishe eneo alipatia jina lake. Huo hapo juu pia ni potofu.
Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.
Hilo hapo juu lina ukweli na walakini mkubwa.
Kwani tabia za 'binadamu' unaowataja hapa, ambao wana uwezo mkubwa wa teknolojia ya kukabaliana na mazingira ndio walioharibu mazingira yao kwanza kwa kuwaua wanyama wa maeneo yao na wao kuanza kulima, kujenga viwanda, na mashamba ya mifugo ili kukidhi wingi wao wa kuhamia huko, mfano mzuri ni wale mabeberu wa montana marekani, waliuwa na hata kuteketeza kabisa mbwa mwitu...ipo mifano mingine mingi tu ya hao "binadamu" wenye "uwezo mkubwa" wa kukabiliana na mazingira. Najiuliza imekuwaje Wamasai waishi hapo kwa miaka mingi hata kuyazidi mataifa makubwa duniani kwa kuishi na hao wanyama kwa upatanifu na ulinganifu miaka yote hiyo, nini kimewatokea?
Hayo unayoyadai ni ulaghai!
Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.
Kwanini watu wasipinge pale unapoona kuna uangamizaji(Genocide) wa wenzako?

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Utafiti gani huo ulioufanya? Watafiti huwa wanatangaza tafiti zao, tuwekee wapi tukusome tujue kama yanashika! Unajiwekea ufahari na majivuno ya ulagahi tu hapo.
Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,
Hapo juu ni uwongo tu, au ndio utafiti unaojua wewe? Usifanye watu mbumbumbu!
Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.
Vijiji navyotembea mimi na Watanzania wengi hao popo bundi na vipepeo wapo tofauti na vijiji vya ulaya na kwingineko ambako mmewaweka kwenye zoo. Na kama sio kushtuka kwa athari nzuri wanazoleta wala wasingekuwepo. Wacha uwongo na mazingaombwe.
Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.
Weka tafiti za hao wadudu...mpaka leo hii wamasai wamebobea katika nyanja hizo za kutumia kila liliwapo huko vichakani kutengeneza madawa asilia-unataka kusema hakuna magugu ya sisimizi huko? hakuna mchwa huko? Usituletee utafiti wa nchi za ulaya na marekani na kutuaminisha ndiyo yanayotokea kwa Wamasai au Afrika. Wacha ulagahi!
Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea
Sungura wanawindwa Ulaya, hususani uingereza na ndio kuna bundi wengi na sungura!
Taja kijiji kimoja hapa Tanzania ambamo hayo unayoyadai yametokea, vinginevyo ni hadithi za abunuasi! Wacha ulagahi na mazingaombwe
So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida
Jicho la kawaida la mwafrika ni tafiti tosha! Unabisha? na hilo ongezeko ni uongo! mbona Kajiado hawakuhamishwa?
Loliondo? iwa hivyo vigezo vyako na sababu za ongezeko?
Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima
Ni serikali ya CCM hiyo unayotaka iwaondoe kwa ulazima? kwani NGORONGORO ni pori?

Hapo juu umejaa uzandiki na uhasama.

Wacha kuwahadaa CCM wacha kuwahadaa Wananchi wa Tanzania Wacha kuwadhihaki Wamasai.

Aluta Continua
 
Kweli kabisa hao watoke na iwekwe sheria kali ya uvamizi wa hifadhi hawa sio wa kuchekewa

Mimi shambani kuna wanyama wanakuja na sio hifadhi kuna nyoka wa aina nyingi na ndege wengi kwa sababu nimepiga marufuku kuchungia humu nikikamata faini
Na watoto kuwinda ndege marufuku
Tulikamata ndoo tatu za manati na makofi juu ila sasa hawasogei na kuna aina ya ndege 12

Sasa ningekuwa waziri mbona mngeona zizi na kantyentye na jolowe wamerudi mpaka mjini [emoji23][emoji23]
Wewe nae. Snipe with care.
Shamba gani hilo limejaa nyoka? Hatari sana huko shambani mwako
 
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.

So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.

Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.

Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,

Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.

Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.

Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea

So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida

Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima

Acha ushamba ww maasai abaki kwenye ardhi ya wazazi wake
 
Back
Top Bottom