JIbu swali usijirushe huelewi chochote umejaa chukiUnajua nini na wewe Bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JIbu swali usijirushe huelewi chochote umejaa chukiUnajua nini na wewe Bashite
NGORONGORO hairuhusiwi kwa mtu yeyote kufanya mawindo ya mnyama yoyote yule... nakubaliana na wewe kwa 100%.
Tatizo kubwa tulilo nalo nchi zetu hizi utakuta move yote hiyo kuna hila ndani yake;
Utashangaa wanawaondoa hao wamasai ili kupisha wenye fedha waweze kuwinda vizuri!
Swali gani mpuuzi wewe?JIbu swali usijirushe huelewi chochote umejaa chuki
Acha chukiSwali gani mpuuzi wewe?
Chuki na nani?Acha chuki
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.
Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.
Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.
Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.
Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,
Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.
Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.
Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea
So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida
Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima

Msigwa yuko sahihi kwenye hili.Msigwa anatetea hoja zake kwa mantiki, ana point ya kufikirisha
Wanaosema Wamasai wanaonewa hawatoi mbadala wa nini kifanyike
Kikubwa katika mjadala ni Msigwa na Tundu Lisu kuwa na mitazamo tofauti bayana kwa kuheshimiana. Mijadala kama hii inajenga demokrasia na ina afya kwa nchi.
JokaKuu Fundi Mchundo
Wataje hao wanaharakati na wanasiasa uliowauliza na mimi niweze kuulizia misimamo yaoHoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
Hayo juu, ya kuwa walipewa ruhusa ya kuishi ni potofu. Wamasai ni wakazi wa maeneo hayo mpaka hata mlima pembezoni yao unaitwa Oldonyo Longai. Kwa mwananchi wa Tanzania au wakuja wowote yule akiwaamepewa "ruhusa" ya kukaa sehemu hawezi kurupuka na kuamua tu abadilishe eneo alipatia jina lake. Huo hapo juu pia ni potofu.So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.
Hilo hapo juu lina ukweli na walakini mkubwa.Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.
Kwanini watu wasipinge pale unapoona kuna uangamizaji(Genocide) wa wenzako?Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.
Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.
Hapo juu ni uwongo tu, au ndio utafiti unaojua wewe? Usifanye watu mbumbumbu!Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,
Vijiji navyotembea mimi na Watanzania wengi hao popo bundi na vipepeo wapo tofauti na vijiji vya ulaya na kwingineko ambako mmewaweka kwenye zoo. Na kama sio kushtuka kwa athari nzuri wanazoleta wala wasingekuwepo. Wacha uwongo na mazingaombwe.Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.
Weka tafiti za hao wadudu...mpaka leo hii wamasai wamebobea katika nyanja hizo za kutumia kila liliwapo huko vichakani kutengeneza madawa asilia-unataka kusema hakuna magugu ya sisimizi huko? hakuna mchwa huko? Usituletee utafiti wa nchi za ulaya na marekani na kutuaminisha ndiyo yanayotokea kwa Wamasai au Afrika. Wacha ulagahi!Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.
Sungura wanawindwa Ulaya, hususani uingereza na ndio kuna bundi wengi na sungura!Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea
Jicho la kawaida la mwafrika ni tafiti tosha! Unabisha? na hilo ongezeko ni uongo! mbona Kajiado hawakuhamishwa?So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida
Ni serikali ya CCM hiyo unayotaka iwaondoe kwa ulazima? kwani NGORONGORO ni pori?Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima
Wewe nae. Snipe with care.Kweli kabisa hao watoke na iwekwe sheria kali ya uvamizi wa hifadhi hawa sio wa kuchekewa
Mimi shambani kuna wanyama wanakuja na sio hifadhi kuna nyoka wa aina nyingi na ndege wengi kwa sababu nimepiga marufuku kuchungia humu nikikamata faini
Na watoto kuwinda ndege marufuku
Tulikamata ndoo tatu za manati na makofi juu ila sasa hawasogei na kuna aina ya ndege 12
Sasa ningekuwa waziri mbona mngeona zizi na kantyentye na jolowe wamerudi mpaka mjini [emoji23][emoji23]
Wewe nae. Snipe with care.
Shamba gani hilo limejaa nyoka? Hatari sana huko shambani mwako