Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

Wabongo tuna matatizo makubwa mkuu. Tunaongea na kujadili kile tusicho na ufahamu nacho.
 
Utafiti umeufanyia wapi au ni hisia zako tu?.
 
Bora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
Kuna utafiti umeufanya au unaropoka tu.achana na tabia zakusema mambo kwamihemko na hisia zako ukazijumlisha kwa watu.
 
#gersonmsigwa Ile zuu ya Dubai wamepatia wapi wanyama na wakaweka majinA yakwetu .
Hiyo inaonyesha approciation ya sisi kujitolea wanyama
 

Ushahidi apewe ili aufanyie nini, kwani yule mtu aliyekamatwa akiwa amejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini hadi waziri mkuu akaunda tume, ni hatua gani wamemchukulia?
 
Ushahidi apewe ili aufanyie nini, kwani yule mtu aliyekamatwa akiwa amejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini hadi waziri mkuu akaunda tume, ni hatua gani wamemchukulia?
Toa ushahidi vinginevio majungu
 
Msigwa; watazania sio mambumbu asilani! Tunajua huwezi kusema ilibeba wanyama kwani ni hatari kwako!
yana mwisho kwa wahusika!
Amemwambia tuo ushahidi kapicha tu tena madogo kanako onysha ndege ikipakia twiga
 
Kuna utafiti umeufanya au unaropoka tu.achana na tabia zakusema mambo kwamihemko na hisia zako ukazijumlisha kwa watu.
Alie onana ndege ikipakia twiga alete ushahidi, sio kuongea kama malaya alie nyimwa gongo
 
Kama pesa inaingia kwenye mfuko wa serikali Kwa nn wasiweke wazi kama issue just ni kuuza?
Wewe umewahi kuona wanyama wakipanda ndege? Weka picha hapa ila isiwe ya photo shop
 
Na wewe nakumbuka ulikuwa bingwa wa kumpinga Magufuli!!

Majizi mna sifa moja kuu ya kuchukia wazalendo.
Magufuli nitampinga sana tu, alikuwa anatuharibia nchi. Ni bora alikufa tu la sivyo tungekuwa kama Yemen au Zimbabwe kiuchumi. Nyie misukule mnaomuona eti mzalendo endeleni kimuabudu.
 
Kwa nchi ambayo mpaka vyombo vya dola vinabariki matendo ya hovyo na wizi wa rasilimali, siyo busara kupeleka ushahidi kwa sababu ushahidi wako ndilo kaburi lako.

Tukusanye ushahidi kisha tuwapatie wananchi wenzetu ili wakaupeleke kwenye sanduku la kura muda utakapofikia....
 
Hata vichaa wanajuwa kutamka maneno hayo mawili ya stupid nonsense! Waweza kuwa kichaa pia

Naomba ujibu hoja zangu za kuuza wanyama
Dubai wanatengeneza Safari park lengo lao wakamate watalii wote ....ukienda Dubai iwe one stop centre ya aina zote za utalii.....wakifanikisha hili mtalii gani atakuja kumwona Simba Tanzania wakati akienda Dubai kuna safari park!
 
Bhasi na pembe za ndovuuu iwe ruhusaa kuuza..tembo wauliwee maana watakufaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…