Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

Dubai wanatengeneza Safari park lengo lao wakamate watalii wote ....ukienda Dubai iwe one stop centre ya aina zote za utalii.....wakifanikisha hili mtalii gani atakuja kumwona Simba Tanzania wakati akienda Dubai kuna safari park!
Forget about that!! Hiyo kitu nimeiona Sharjah ila mnaiogopa bila kujua inafananaje. Mbona zoo zipo Europe na America yote lakini still wazungu wanakuja mpaka kwetu kuwaona wanyama!!

Mnyama kwenye natural habitat ni tofauti na mnyama wa zoo. Hata wangefanya nini hawawezi kutupiku sisi wenye mazingira halisi.

At most labda watatufanyia promotion kuwa wanyama walitoka Tanzania
 
Griti sinka kama unaitwa Baba pia,wanao wamekosa Baba 🙁
 
Hiyo ni issue tofauti ya kuua tembo ili upate pembe za kuuza. Uzuri haya mambo yote yanaratibiwa na WWF na CITES ambavyo ni vyombo vya dunia vinavyo hifadhi endangered species.

Sisi wenyewe pale Banda Ngozi kwenye maghala ya Mali Asili tuna pembe za ndovu tulizozikamata kwa majangiri zaidi ya Tani 20 lakini tumekatazwa kuuza instead tunaambiwa tuzichome ili ku discourage biashara ya pembe za ndovu.
Bhasi na pembe za ndovuuu iwe ruhusaa kuuza..tembo wauliwee maana watakufaa tu.
 
Hadi wazanziberi wanatoka madarakani replica ya serengeti itakuwa imetengenezwa huko arabuni hivyo watalii watakuwa hawana haja ya kuja huku bongolala, bata zote na utalii wanamaliza hukohuko.....
 
ila kumuuza tembo ni sawaa??? ndovu zake si sawaaa
 
Huyu msemaji nae sijui vipi,, kwanza tunatakiwa kuambiwa, sheria inasemaje kuhusu kusafirisha wanyama pori,, sasa akikanusha ije ionekane wanyama wanasafiri itakuaje?,
Maana wanyamapori kusafirishwa duniani kote inafanyika, iwe kibiashara au donations,, hata hapa tuliwahi kusagirisha vyura wa kihansi kwenda ulaya, wakaenda kuzaliana huko,,
Tunataka kujua, sheria ya nchi inazuia kusafirisha wanyama pori , au sheria ya sarungi ndio imekataza,,,
 
Ni sawa lkn si sawa kuwauza kwani tutakuja kukosa wageni wakuja kuziona hapa na vijan wetu watahadhirika vibsya Sana kwa umasikini uliyotukuka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Msigwa ataaumiwa kwa kukaza shingo kwa kukomaa kuwa hakuna ndege imetua kule Park kwa kuwa ndege ile ni kubwa na kwamba haiwezi kutua kwenye ile park...baada ya kuoneshwa picha akadai ile picha ni ya 10 years, swali likaja awali alisema ndege ya ukubwa ule haiwezi kutua pale park hiyo 10 year same aircraft iliwezaje kutua...hana majibu!
Ninachojua ni kwamba Msigwa anaelekezwa cha kuzungumza ambacho hajui na hana mamlaka ya kuhoji ukweli wake na hizo ndo weakness za position za wasemaji wote hasa wa taasisi za serikali! wamenyimwa nguvu ya kuuliza au kuhoji wakapewa nguvu ya kukanusha hata kama hajui ground ya unachoelekezwa kukanusha!
 
Nimesoma kuanzia page ya 1 mpaka ya 3 naona matusi tu na nadharia za kutunga. Kuna shida gani kuweka huo ushahidi wa wanyama kupakiwa kwenye ndege tena hapa Tanzania?

Kweli ujinga na chuki ni vipaji vya mtu mweusi
Muwafukuze Wamasai kwenye ardhi yao ili mjisombee wanyama na kuwapeleka Uarabuni,una akili kweli wewe?
 
Tatizo ni kuwafukuza Wamasai kwenye ardhi yao ili mwarabu afaidi.
 
Kiufupi lile eneo limenunuliwa au kukodiwa na muarabu kwahiyo anafanya uwindaji na shughuli nyngne za kiutaliii. Jamaa kamwaga ma trilion ya pesa kwa miaka kadhaa, Sio chini ya miaka 20. Na lile eneo kuna uwanja wa ndege kwahiyo watu wao wakija wanatua hapo wanafanya utalii nyama choma kwa sana a lot of things ambazo zinahusian na utalii. Nimeongea hivyo kwasababu nimefika ilo eneo nikitokea Ngorongoro
 
Alie onana ndege ikipakia twaiga alete ushahidi,sio kuongea kama malaya alie nyimwa gongo
Majaliwa alisemaga rais ni mzima na anachapa kazi kumbe jamaa alishakata roho kitambo, sasa na wewe unataka ushahidi kwenye jambo la wazi ili uendelee kupumbaza waliopumbazika, muda ukifika utaanza kusema hakuna mwanadamu asiyekosea tusameheane tuwe kitu kimoja tuijenge nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…