Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

Anataka tuweke ushahidi halafu tupigwe risasi?
 
Kiongozi unakifahamu kitu kinachoitwa ecosystem? Wanyama wakifia mbugani wanawafanya viumbe wengine waendelee kuishi,

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ni Gerson Msigwa nilifikiri ni Peter Msigwa nilitaka kushangaa kumbe ni yule mdogo wake wa kijani kabisa yule sasa we mtu yuko kweny cheni ya ulaji wa kupewa ulitaka asemeje!?
 
Bora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
Wanzanzibar wenyewe hawa mpendi na waislam wenzake
 
Bora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
Wazanzibari wenzie hawa mpendi na hawa ata habari naye leo alikuwa kwao uko kazi kusomba wananchi na malori kuwapeleka kwenye mkutano wake
 
Ninyi serikali ndiyo mnao ushahidi na mnaelewa wazi kabisa kuwa mnaruhusu wanyama kuchukuliwa.
 
Wazanzibari wenzie hawa mpendi na hawa ata habari naye leo alikuwa kwao uko kazi kusomba wananchi na malori kuwapeleka kwenye mkutano wake
Unatumia kipimo gani kusema Wazanzibari wenzie hawampendi? Wengine kuleni makande tu, siyo lazima mchangie JF
 
Ameshangaa Msigwa kukanusha wakati anajua A to Z ya kinacho endelea Loliondo kule na pia kanitonya kuna Magari Mwarabu kanununulia Serikali na muda wowote watakabidhi kwa Serikali kwa ajili ya uhifadhi.
 
Kaniambia kwa uchache ndege ile ilipaa na wanyama si chini ya 250, na kuna walio salia ambao wanaweza fuatwa muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…