Pre GE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chumia tumbo kwanza!
 
Kuliko kutoa siri za ndani za CHADEMA Msigwa bora angekuwa anazuga tu akina Makala.
 
Njaa haina adabu.

Upinzani wa Tanzania ni mgumu. Tena sana. Nafsi inataka. Tumbo halitaki.
Pamoja na yote ya uroho wa madaraka,kugawa rushwa kwenye uchaguzi kanda ya Nyasa na kuwa na mawasiliano ya muda mrefu na CCM kwa Msigwa,bado nina hofu na ushawishi wa mkewe.Nafuatilia nguvu ya mkewe na familia yake katika hili.
 
Kuna wakati huwa mnaendeshwa na mihemko kuliko kutumia akili. Yani kusema Msigwa ni spent item tayari nimekuwa CHADEMA. Wengine hatuna vyama ila ni watu huru. Msigwa alianza kushindwa hata ndani ya chama chake mwenyewe.
 
Kwahiyo samia naye akaacha maagizo ya chama chake akaamua kushughulikia mambo ya Club bilicana?
 
Kwahiyo samia naye akaacha maagizo ya chama chake akaamua kushughulikia mambo ya Club bilicana?
Hivi,unaona kuna ukweli kwamba SSH na Mbowe waliacha ya maana yooote wakaanza kujadili Bilcanas?Msigwa amejua kubonyeza kitufe cha vichekesho kwa umahiri sana.🤣🤣🤣🤣🙏
 
Apimwe akili huyu. Kuna shida kichwani kwa Msigwa
 

Huyu huyu Mama anayepiga misele na msafara wa magari 150 huko Rukwa ..... Ukweli kuna machache sana ya kumsifia huyu Mama. Ndiyo maana kila mtu hayuko specific zaid ya Kafungua uchumi, karuhusu mikutano ....!!
 
Mwanamke Malaya hachagui wakutoka naye, mwenye hela yoyote anapewa kwa muda ule, akishamtumia anamwacha.
 
Senge hili mbona naye alikuwa akishiriki kuyadandia hayo mambo ya ccm
 
Ana Uhuru kama aliokua nao sativa na wengine wanaotukana uongozi wa Tanzania .yaani nyie chadema mnataka kuiponda ccm tuh nyie kuambiwa ukweli hamtaki
Ccm ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuiponda Chadema. Mchungaji Msigwa anapoiponda Chadema anajidhalilisha, na kuonekana kama mtu aliyefundishwa nini cha kusema.
 
Napita nitarudi.
 
Nkurunziza hii imeenda sana, nimecheka na kusikitika sana huyu anavyobwabwaja kama pimbi aliejeruhiwa.Hata hao ccm sidhani kama wanamuamini huyu chizi. Yajayo yanafurahisha na muda ni mwalimu mzuri sana. Tusubiri 2025 kuna mengi ya aina hii ya Tik Tak.
 
Njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…