Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Taasisi yetu imara ya ujasusi ishajifunza, sasaivi kwa anaetangaza nia ya urais, Cha Kwanza watachunguza URAIA wake,MAANA mnaweza mkalaumu kumbe anaewaongoza sio Raia, kwaiyo hana huruma nanyi,

Na fya ya akili, maana kuongozwa na kichaa Ni hatari, na kingine elimu yake.
Umenifurahisha hapo ulipoanza kwa kusema " Taasisi yetu Imara".
 
Kwa nondo za Jana za msigwa I wish nikachumbie kale kabinti kake kamoja alichokuwa anapiga nacho kampeni

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
aliongea kila kitu kwa uwazi na bila uoga asichokijua alikiri hakifahamu,lkn mjadala ulinogeshwa zaid na aliemhoji..clouds na vyombo vingne wajifunze sana kupitia haya
 
''Katika nchi za watu waliositarabika na wanaoheshimu sheria, Spika Ndugai hafai kuwa hata mwenyekiti wa chama cha kukopeshana'' huyu ni speaker wa hovyo hajawahi kutokea.
Sio spika ndugai tu chunguza vizuri pale wasaidizi wako wote akina Kuanzia Tulia pale kuna shida sana ndio maana wanaumiza wanyonge na kodi ili kuwalipa wabunge wasio na vyama
 
Huyu kweli Mchungaji ndiyo maana namuelewa, Huwa Hana shobo Pamoja na kutolewa dhamana na Ofisi ya Mwendazake bado kakomaa.
Baada ya miaka mitano uraiani, ataikumbuka tu kazi yake pale welofeya!
 
Zilipendwa huyo.

Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?

Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?

Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Hoja hapa ni kwa nini spika alitumika kuwashawishi wabunge. Na kwa nini mtu hata kama anafaa asishinde hadi apitie ccm.
Spika alikuwa na ushahidi gani kuhusu hili ambalo limetokea kweli.
Je, kuna shaka kwamba mkakati wa kuangamiza upinza ulikiwa thabiti na ulipangwa makusudi ukitegemea nguvu ya dola?
Ni nani hasa alikuwa mbele ya mpango huu, hebu kumbukeni matamshi ya katibu mkuu wa chama kuhusu hili wenye dola.
Ccm ikiendelea kukumbatia ubabe haiwezi kudumu ndio maana tunaona wababe wanaanguka mmoja baada ya mwingine.
Amiini nawaambia kama katka ccm kuna bado wanaoamini siasa za kibabe wajiandae tu hawana siku nyingi.
Rais ameona hili na hapendi kabisa ubabe kwa kuonekana na kwa kutamka. Sasa kuna watu wanampinga na hawa ni wapendao ubabe. Waanze kuhesabu siku zao. Ama sivo watubu na waongoke kabla hayajawakuta.
 
Hoja hapa ni kwa nini spika alitumika kuwashawishi wabunge. Na kwa nini mtu hata kama anafaa asishinde hadi apitie ccm.
Spika alikuwa na ushahidi gani kuhusu hili ambalo limetokea kweli.
Je, kuna shaka kwamba mkakati wa kuangamiza upinza ulikiwa thabiti na ulipangwa makusudi ukitegemea nguvu ya dola?
Ni nani hasa alikuwa mbele ya mpango huu, hebu kumbukeni matamshi ya katibu mkuu wa chama kuhusu hili wenye dola.
Ccm ikiendfelea kukumbatia ubabe haiwezi kufumu ndio maana tunaona wababe wanaanguka mmoja baada ya mwingine.
Amiini nawaambia kama katka ccm kuna bado wanaoamini siasa za kibabe wajiandae tu hawana siku nyingi.
Rais ameona hili na hapendi kabisa ubabe kwa kuonekana na kutamka. Sasa kuna watu wanampinga na hawa ni wapendao ubabe. Waanze kuhesabu siku zao. Ama sivo watubu na waongoke.
Uwezi ua upinzani kwa mbinu za kishamba dizaini ile ccm wanashindwa kutambua maana ya upinzani nini wao wanafikiri upinzani ni viongozi wa vyama vya siasa bila kujua kero maonevu ongezeke la wanyonge mtaani ndio upinzania
 
Katika maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na watu wa inner circle ni ya kumpendekeza Magufuli kuwa Rais.Nchi ilikua inatumbukia shimoni na ingewagalimu miaka mingi sana kizazi cha mbele kuirudisha kwenye mstari.Kwangu mimi Magufuli alikua ni Rais wa hovyo tangia nchi ipate uhuru!!!.
 
Tulikuwa tukiwasifia sana kuwa hawanunuliki kabla ya kuingia kwenye Ofisi ya Spika wa Jamhuri ya Muungano Shame on them all

Hakuna mtu kanunulika sema hao hawajasusa
Nyie mlitaka wasuse wasubiri katiba mpya na tume mpya ya Uchaguzi ambayo haitakuja kutokea?

Mbowe anawapoteza shauri yenu
 
Hakuna mtu kanunulika sema hao hawajasusa
Nyie mlitaka wasuse wasubiri katiba mpya na tume mpya ya Uchaguzi ambayo haitakuja kutokea?

Mbowe anawapoteza shauri yenu
We jamaa hueleweki
 
Back
Top Bottom