Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Bi.mdogo huyo c unajua tena kitaa kigumu????
Mbona matusi? Kwani meko ni ndugu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona matusi? Kwani meko ni ndugu yako
Aliwahi sema akitangulia haoni mtu wa kuendeleza miradi yake. Daah.
Yap
Truth ni kupora ?!Alikwambia ukweli, tatizo wengi wenu "you can't handle the truth"
Umenifurahisha hapo ulipoanza kwa kusema " Taasisi yetu Imara".Taasisi yetu imara ya ujasusi ishajifunza, sasaivi kwa anaetangaza nia ya urais, Cha Kwanza watachunguza URAIA wake,MAANA mnaweza mkalaumu kumbe anaewaongoza sio Raia, kwaiyo hana huruma nanyi,
Na fya ya akili, maana kuongozwa na kichaa Ni hatari, na kingine elimu yake.
aliongea kila kitu kwa uwazi na bila uoga asichokijua alikiri hakifahamu,lkn mjadala ulinogeshwa zaid na aliemhoji..clouds na vyombo vingne wajifunze sana kupitia hayaKwa nondo za Jana za msigwa I wish nikachumbie kale kabinti kake kamoja alichokuwa anapiga nacho kampeni
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
ndio mkuu , TISS wapo vizuriUmenifurahisha hapo ulipoanza kwa kusema " Taasisi yetu Imara".
Sio spika ndugai tu chunguza vizuri pale wasaidizi wako wote akina Kuanzia Tulia pale kuna shida sana ndio maana wanaumiza wanyonge na kodi ili kuwalipa wabunge wasio na vyama''Katika nchi za watu waliositarabika na wanaoheshimu sheria, Spika Ndugai hafai kuwa hata mwenyekiti wa chama cha kukopeshana'' huyu ni speaker wa hovyo hajawahi kutokea.
Baada ya miaka mitano uraiani, ataikumbuka tu kazi yake pale welofeya!Huyu kweli Mchungaji ndiyo maana namuelewa, Huwa Hana shobo Pamoja na kutolewa dhamana na Ofisi ya Mwendazake bado kakomaa.
Hoja hapa ni kwa nini spika alitumika kuwashawishi wabunge. Na kwa nini mtu hata kama anafaa asishinde hadi apitie ccm.Zilipendwa huyo.
Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?
Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?
Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Uwezi ua upinzani kwa mbinu za kishamba dizaini ile ccm wanashindwa kutambua maana ya upinzani nini wao wanafikiri upinzani ni viongozi wa vyama vya siasa bila kujua kero maonevu ongezeke la wanyonge mtaani ndio upinzaniaHoja hapa ni kwa nini spika alitumika kuwashawishi wabunge. Na kwa nini mtu hata kama anafaa asishinde hadi apitie ccm.
Spika alikuwa na ushahidi gani kuhusu hili ambalo limetokea kweli.
Je, kuna shaka kwamba mkakati wa kuangamiza upinza ulikiwa thabiti na ulipangwa makusudi ukitegemea nguvu ya dola?
Ni nani hasa alikuwa mbele ya mpango huu, hebu kumbukeni matamshi ya katibu mkuu wa chama kuhusu hili wenye dola.
Ccm ikiendfelea kukumbatia ubabe haiwezi kufumu ndio maana tunaona wababe wanaanguka mmoja baada ya mwingine.
Amiini nawaambia kama katka ccm kuna bado wanaoamini siasa za kibabe wajiandae tu hawana siku nyingi.
Rais ameona hili na hapendi kabisa ubabe kwa kuonekana na kutamka. Sasa kuna watu wanampinga na hawa ni wapendao ubabe. Waanze kuhesabu siku zao. Ama sivo watubu na waongoke.
Tulikuwa tukiwasifia sana kuwa hawanunuliki kabla ya kuingia kwenye Ofisi ya Spika wa Jamhuri ya Muungano Shame on them all
We jamaa huelewekiHakuna mtu kanunulika sema hao hawajasusa
Nyie mlitaka wasuse wasubiri katiba mpya na tume mpya ya Uchaguzi ambayo haitakuja kutokea?
Mbowe anawapoteza shauri yenu
Anajua 2025 hafiki ,soon anamfata dikteta jiwe, waendelee kupanga mipango ya kuua upinzani kuzimu.Alishasema hagombei tenaa!