Yeah, nilitaka niandike hivyo pia. Larry aliwacheki and they didn't show cooperation.Larry aliwapigia simu kupata the other flip of the coin Lakini mkachimba 😂😂😂😂😂
Sasa pale wao mafasi yao ilikuwa wapi? Mbona ameweka vipande vya maneno ya samiaSerikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.
Its very unprofessional!
Kumbe hawajafuata taratibu tu lkn vyote walivyoreport ni sahihi!!Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.
Its very unprofessional!