PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unapata wapi nguvu ya kukanusha kwa ushahidi ule?🌚
Sio nguvu, Msigwa ni mtumwa wa uovu.

Ukiishaingia kwenye uovu mtu hubadilika na kukosa haya na soni, na hichi ndicho tunokishuhudia.

Kwenye hili Msigwa ni bora akae kimya kwani hadi sasa kazidiwa na Lary Madowo kijana mwenye umri wa miaka 38 kwenye kutumia akili.

Serikali kama ina angalau fedha za ziada impeleke Msigwa akasome kozi iitwayo Strategic Communication.
 
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.

Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.

Its very unprofessional!

Mbona sirikali inakiuka kila sekunde,dakika,saa,masaa,siku,wiki,miezi na miaka taratibu njema za watu kupata habari na kuishi. Sasa wakishikwa chupi IPO juu ya mti, ndio kushambulia BBC n.k
 
Back
Top Bottom