PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.

Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.

Its very unprofessional!

Hawa mbwa koko kila siku tunasoma habari zinasema waandishi walitafuta wasemaji wa serikali ya Tanzania watoe upande wao lakini ama walikataa ama hawakupatikana.

What is this bozo talking about?
 
Mmevidhibiti vyombo vya habari vya ndani kwa kuvihonga na kuvitisha! na kwa sasa vimekuwa ni sehemu ya chawa wenu! Mkafikiri kazi imekwisha! Mvihonge au kuvitisha sasa na hivyo vyombo vya nje kama mtaweza.
 
Mwenye picha na video za mauaji atupie hapa tupate hasira zaidi
 
Hii si ni kama naona wanachochea moto, na vyombo vingine vya habari kuelekeza macho yao hapa kwa kutoa documentary zaidi
 
Hawa Jamaa wanataka kila mtu ikiwezekana awe zezeta kama Tbc, Ayo, Itv, Mwijaku na chawa wengine, dizaini hawapendi kabisa mtu anayejifahamu na kujielewa.
 
Mmevidhibiti vyombo vya habari vya ndani kwa kuvihonga na kuvitisha! na kwa sasa vimekuwa ni sehemu ya chawa wenu! Mkafiri kazi imekwisha! Mvihonge au kuvitisha sasa na hivyo vyombo vya nje kama mtaweza.
Wanaanzia wapi!? Bajeti za BBC na CNN ni bajeti ya wizara zote! Waandishi wa habari wanafuata taaluma sio maelekezo. Millard Ayo ana kazi ya ziada kujifunza kwa Madowo
 
Nakumbuka BBC walimhoji kamanda Muliro.

Aljazeera pia walimhoji Waziri wa mambo ya nje.

Msigwa alitaka wafanye nini zaidi?
Tena huyo Kombo akajimwambafai kuwa he was out and about hakuna watu 700 waliokufa na wala serikali haikutumia excessive force against civilians, kiko wapi?? Yeye na cartel yake wameumbuka vibaya mno. Ni suala la muda tu wapelekwe kwa pilato.
 
Kwamba hakukuwa na maandamano, waliofanya vurugu ndogo na kudhibitiwa wametoka nje ya nchi
Waligundulika kuwa ni watu wa nje wakiwa tayari wanaandamana? Au tuulize walihojiwa kabla ya kuuawa wakiwa katikati ya maandamano au walihoji maiti zao? Watulie tu
 
😀 😀 😀 Wabalance nini?

Waseme Serikali haikuua?
Kuna mdada pale muandishi wa habari aliuliza swali kuhusu huko kubalance, ameonyesha serikali huwa hawatoi ushirikiano ukiwafuata unapotaka kubalance na ndio CNN wamekutana nacho hicho.
 
Kwani CNN wamewazuia kuweka upande wa pili? CNN wameweka ukweli walioona, aseme ni kipi walichopotosha?
Anawalaumu CNN kuweka zile video za mauwaji kwamba ni unprofessinal kufanya vile, zile video zinawaumiza wafiwa na inakuwa kama wimbo wakati wote kwamba hakuna anayefurahia kilichotokea.
 
Back
Top Bottom