PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.

Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.

Its very unprofessional!

😀 😀 😀 Wabalance nini?

Waseme Serikali haikuua?
 
Upande wa pili wa video zinazoonyesha watu wakiuawa ni upi? Kwamba maandamano yalikuwa ya amani?
Kwamba hakukuwa na maandamano, waliofanya vurugu ndogo na kudhibitiwa wametoka nje ya nchi
 
Yeah, nilitaka niandike hivyo pia. Larry aliwacheki and they didn't show cooperation.
YAani amesema as if hivi vyombo vitakuwa havina evidence pamoja na za maandishi kuthibitishwa walitafutwa na hawakutoa ushirikiano!
 
Yaani sheria za tanzania ndo zifuatwe kwenye uandishi wa duniani, stupid sheria za kukandamiza vyombo vya habri. Ndiyo maana vyombo vyote vya habari hawajawahi tangaza watoto wetu na ndugu zetu walivyouliwa.
 
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.

Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.

Its very unprofessional!

Wafungieni nao kama mnaweza
 
Back
Top Bottom