Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

Kama tu kuelewa Katiba ina umuhimu gani..wacha mambo yaendelee kama yalivyo.
 
Cdm unayo iongelea ni ipi hiyo?
Jiwe alishawadanganya kama mazuzu kuwa kasha iua cdm nanyi mkakenua meno tu kuwa cdm imekufa.
 
Cdm unayo iongelea ni ipi hiyo?
Jiwe alishawadanganya kama mazuzu kuwa kasha iua cdm nanyi mkakenua meno tu kuwa cdm imekufa.
We mvuta bangi unafahamu lolote la maana?
 
Mkuu ikumbukwe kuwa takwa la katba, siyo tu kuifanya ishike dola. Bali kutuwezesha kutengeneza, mifumo bora kwenye taasisi zetu
 
Na hii ndiyo akili ya watu wengi wanaamin kuwa katiba ni kwaajili ya CDM
Kumbe ni mali ya watanzania
CDM na CCM vitapita lkn Tanzania na katiba yake vitabaki


Please toka ucngizin
 
Kwani mwenda zake ndivyo alivyowaanisha baada ya chaguzi mbovu za mwaka 1999 na 2020 wekeni uwanja sawa mine aibu Lima ninyi
 
Chadema sio chama cha siasa, ni mob/mafia family.

Chama gani cha siasa kinaongozwa na kabila moja na mwenyekiti mmoja zaidi ya miaka 15 halafu wanataka demokrasia.

Hii nchi bora hata tumpe Mzee Hashim Rungwe kuliko Mbowe na chama chake.
 
Idugunde vipi kuhusu wimbo wa LEGACY naona unapoa sasa umerukia CDM tena na ushindi wa dola sijui katiba

Bahati nzuri mshindi anaamuliwa na wananchi kwenye uchaguzi huru na haki katiba haichagui mshika wa dola

Wimbo wa LEGACY unapoa jamani mbona mmechoka mapema sana tuliwambia LEGACY haijengwi kwa kelele za mashabiki

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Legacy gani unayoihoji?
 
Hiyo kiki ya legacy ya jiwe imepuma
 
unawashwa koromeo wewe, kwani katika vyama 18 vya siasa nchini CHADEMA pekee ndio wanataka dola?
Hivyo vingine vinataka paundi?
MATAGA sijui baba yenu ni nani, wote mna akili za panzi, baralee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…