Msijipe moyo kuwa kesi ya Lissu ni ya kisiasa, ni bora mjiandae kikamilifu kama wenzenu walivyojiandaa

Wamejiandaa na nini? kumnyonga? Poa tuone na wao kama watabaki salama
 
masikhara masikhara yanatokea kama ya Abacha na Ken Sarowiwa.
Mtu ananyongwa halafu tunabaki kupiga kelele mitandaoni siku zinakwenda watu wanasahau maisha yanaendelea.

Watanzania wengi ni kama mbwa koko, ni Wazuri Sana kwenye kubweka, mbaya zaidi mpaka watesi wanalijua hili.
Wengi wetu hatuko serious, kelele zetu utakufa zinasababishwa na stress tu za maisha, wivu na nongwa.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan..
 
Hakuna siasa wala. Sababu za kuwa na siasa hapo kwenye kesi hii hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu
Hawa ndo wamejiandaa wanakula.lecture ya bure
20250813_215347.jpg
 
masikhara masikhara yanatokea kama ya Abacha na Ken Sarowiwa.
Mtu ananyongwa halafu tunabaki kupiga kelele mitandaoni siku zinakwenda watu wanasahau maisha yanaendelea.

Watanzania wengi ni kama mbwa koko, ni Wazuri Sana kwenye kubweka, mbaya zaidi mpaka watesi wanalijua hili.
Wengi wetu hatuko serious, kelele zetu utakufa zinasababishwa na stress tu za maisha, wivu na nongwa.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan..

Abacha aliishia wapi?. Unamlaumu anayeonewa na kumsifu anayeonea.
 
Anayeonea ameamua kuwa mkora hakuna namna ya kumbadilisha au namna anaweza kulala na kuamka akawa mwema.

Sani Abacha amekufa kwa Mwenyezi Mungu kuamua kuchukua roho yake lakini alitimiza azma yake yakumuua Ken bila kuzuiwa na mtu yeyote, Kwa hiyo unataka tuishi hivi kwa hewala hewala tu..

Point yangu, tunabweka sana bila kuchukua hatua, maana yake ubwekaji huu hauwezi kumfanya mtesaji kuwa mwema hata siku moja, na ni dhambi pia kukubali kuonewa onewa na kumuacha Mungu mambo ambayo tunaweza kuyachukulia hatua.
Dalili hizi za ubwekaji zinaonyesha hata Lissu anaweza kunyongwa na hakuna hatua tunaweza kuchukua zaidi ya kumuachia Mwenyezi Mungu ambaye naye ameturuhusu kutetea haki na kuondoa uovu kwa mikono yetu.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Neno " mjiandae" maana yake mmepanga, mmeshafanya na kuandaa kila kitu kuhusu huyo mtu na kesi yake. Kilichobaki ni kukamilisha taratibu tu.

Mnasubiri nini sasa, mnaharibu tu rasilimali za Wadanganyika.
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Kama ww umehusika kula mali ya uma hakika utainya
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Ken Salowiwa alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa kwa makosa kama ya Lisu. So tunasubiri siku ya hukumu ahukumiwa kunyongwa mpaka kufa huyo Lisu, maana alivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli alidhani jambo jema
 
Hakuna wa kumnyonga Lisu nchi hii wala kutoa hukumu ya kumnyonga.
Kama huamini subiri utajionea mwenyewe
 
masikhara masikhara yanatokea kama ya Abacha na Ken Sarowiwa.
Mtu ananyongwa halafu tunabaki kupiga kelele mitandaoni siku zinakwenda watu wanasahau maisha yanaendelea.

Watanzania wengi ni kama mbwa koko, ni Wazuri Sana kwenye kubweka, mbaya zaidi mpaka watesi wanalijua hili.
Wengi wetu hatuko serious, kelele zetu utakufa zinasababishwa na stress tu za maisha, wivu na nongwa.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan..
Sio rahisi
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kgilia uhuru wa Mahakama.
I wewe ni miongoniwa mwa wachawi kwenye siasa za Tanzania.Na utakufa kabla ya Tundu Lissu .
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za ibkuwa na siasdugya hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru a Mahakama.
Kama ambavyo Magufuli na Ndugai itakuwa hivyo kwako
 
Huyo Lissu hakupona lile shambulio la September 7 kwa bahati mbaya.

Matendo ya Mitume 5.

"38 Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa, 39lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu. "
 
Back
Top Bottom