Msijipe moyo kuwa kesi ya Lissu ni ya kisiasa, ni bora mjiandae kikamilifu kama wenzenu walivyojiandaa

Ken Salowiwa alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa kwa makosa kama ya Lisu. So tunasubiri siku ya hukumu ahukumiwa kunyongwa mpaka kufa huyo Lisu, maana alivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli alidhani jambo jema

Huyo Magufuli wako yupo wapi?. Pamoja na kumtwanga Lissu risasi ila yeye kafa kamuacha Lissu. Mnapambana na mtu mmoja miaka yote na mna mshindwa.
 
Tutaamini mpaka siku ya mwisho wa kesi, ila sisi wadau tuliosikitushwa na kitendo cha kumsingizia Dkt Magufuli kutaka kumuua Lisu na yeye Lisu kushangilia kifo chake inatuuma sana maana hii ni karma kwa Lisu ili na yeye akipate cha mtema kuni, hasa hukumu ikiwa ni ya kunyongwa, maana Dkt Samia yupo na wino wake mwekundi ndiyo atakuwa mtu wa pekee ambaye hukumu itatekelezwa faster

Huyo Samiah wako unayemwabudu atakufa kabla ya Lissu. Magufuli alikufa akamuacha Lissu, Ndugai kafa kamuacha Lissu. Samiah atakufa atamuacha Lissu.
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Wewe ni Mjinga
 
Kikwete anawajua vilivyo watanzania.

Watanzania ni watu wa mdomo, kuchonga sana lakini ikifika usiku wanaenda kulala.

Lakini viongozi walifuata wanafikiri kuna mtanzania anawaza kupindua nchi
Hahahaha aisee natamani Dkt Samia angeuona huu ujumbe, hakika angeelewa watanzania jinsi walivyo. Nakumbuka 2010 Dkt Kikwete aliposhinda ule uchaguzi mgumu kabisa ambao chama kilikuwa kama kimemsusia baada ya wana mtandao kuambiwa na Dkt Kikwete urais wake hauna ubia aisee Chadema wakajiaminisha wangeweza kushinda ila matokeo yalipotangazwa Dkt Slaa alitamka “Nchi haitatawalika”, aisee ile kauli ilikuwa mbaya sana ila Dkt Kikwete aisee alitabasamu tu ila ingekuwa leo au enzi za Dkt Magufuli hiyo kauli angeenda kujitetea akiwa ndani ya gereza.
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
You never been serious.
Nyie mnaokosa nia ya kuendelea na kesi za UGAIDI. Elewa neno UGAIDI.
 
Hahahaha aisee natamani Dkt Samia angeuona huu ujumbe, hakika angeelewa watanzania jinsi walivyo. Nakumbuka 2010 Dkt Kikwete aliposhinda ule uchaguzi mgumu kabisa ambao chama kilikuwa kama kimemsusia baada ya wana mtandao kuambiwa na Dkt Kikwete urais wake hauna ubia aisee Chadema wakajiaminisha wangeweza kushinda ila matokeo yalipotangazwa Dkt Slaa alitamka “Nchi haitatawalika”, aisee ile kauli ilikuwa mbaya sana ila Dkt Kikwete aisee alitabasamu tu ila ingekuwa leo au enzi za Dkt Magufuli hiyo kauli angeenda kujitetea akiwa ndani ya gereza.
Naam, ni kati uchaguzi huo taratibu za utangazaji matokeo ya kura zilibadilishwa within a process.
 
Ken Salowiwa alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa kwa makosa kama ya Lisu. So tunasubiri siku ya hukumu ahukumiwa kunyongwa mpaka kufa huyo Lisu, maana alivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli alidhani jambo jema
Hata Mimi nilishangilia
 
Samia ana mkubali sana lisu.siasa tu hizo mwisho watamuachia
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Ni kesi ya kisiasa, na malengo ni ya kisiasa..
 
Hakuna wa kumwua Lisu mtaanza kufa nyie wote wenye mpango ovu wa kumwua Lisu....shahidi Hayati Magu.
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Sheria ambayo anachagua nakuwalinda wanaotuibia rasilimali zetu sawa mtambue Mungu halali jaribio lolote lakupoka Haki hatawaacha salama atawapiga kama alivyomfanya Farao
 
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Nadhani hao mashahidi ambao watafichwa utambulisho wao watatumika kueleza kuwa walikuwa pamoja na Lissu kwenye njama za kupindua Serikali ili ionekane kulikuwa na mpango kamili.
 
Nyie jichanganyeni tu, uchaguzi ni tukio dogo tu. Fanyeni usenge mlio zoea hamtakaa muamini, Nchi itachukua uelekeo ambao hamjawahi kuuona.
 
Back
Top Bottom