Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Hii lugha unayotumia hapa inaonyesha una jambo na huyo bwana. Hilo ni lako na yeye.

Lakini kiujumla, acha Lissu atumie lugha anayodhani anaeleweka nayo, hata kama itaonekana ni "kuropoka" kwa baadhi ya watu.
Tuache ramli, hoja ijibiwe kama ilivyo.. mara CCM, sijui nataka jimbo, mara nina jambo binafsi na Lissu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
INTELEGENCY INANITUMA YA KWAMBA LISSU NA MBOWE NI KITU KIMOJA, ISPOKUWA MMOJA ANAKIWASHA, MWINGINE ANAKWENDA KWA NJIA YA DIPLOMASIA LAINI.
-Mtoto wa mjini hungamui tu maujanja haya.
#NOTE THIS!
 
Kweli kabisa give a dog a bad name and kill it !! Wa mboga mboga ndio silaha yao kuu tangu zamani !! Ila sio Paskali !!!
 
INTELEGENCY INANITUMA YA KWAMBA LISSU NA MBOWE NI KITU KIMOJA, ISPOKUWA MMOJA ANAKIWASHA, MWINGINE ANAKWENDA KWA NJIA YA DIPLOMASIA LAINI.
-Mtoto wa mjini hungamui tu maujanja haya.
#NOTE THIS!
Haswaaa !! Hiyo ni 101 % Truth !! Kwa sababu wameshagundua ndani ya maridhiano ipo ile janja janja yao wale jamaa !!
 
Je kama imekuwa planned ionekane hivyo ! Who knows ?
 
Mr Mayalla swali gani unatuuliza wadau. Unachokitetea ni utanzania unaotucost pakubwa. The guy is straight forward and bold. Na ubobezi wako mr Mayalla unaona vyama kukaa mezani na kugawana majimbo ni kuwatendea haki watanzania?does this make genuine democracy ? Katiba mpya wanasiasa wawili wakae na kuja kuwahadaa watanzania? Man stop hyppocracy .the guy is truthful na mamback up pakubwa. Tena asonge mbele atoke kwenye mfuko wa huyu mlamba asali na mabeberu tutambeba. Move za mbowe ni zile zile za enzi za Lowassa .deal juu ya deal

E
 
Wew babu umezeeka vibaya sana umehangaika na vimakala uchwara vyako kuwatetea covid19 umeona aibu umenyuti. Kwanza Lissu sio size yako wew mchumia tumbo.
Kuna sehemu yeyote Chadema wameapishwa kutunza siri za hayo mazungumzo na hayo makaburu ya ccm? Mbona sisi wananchi hatujaona hivo viapo Chadema walivyo apishwa watunze siri za maridhiano?
Maridhiano kama haya tija kwetu ni upuuzi tuu.Hakuna maridhiano ambayo hayaoneshi kujali haki za watu huo ni ujinga na nitasimama na Tundu Lissu ktk hilo.
 
Haswaaa !! Hiyo ni 101 % Truth !! Kwa sababu wameshagundua ndani ya maridhiano ipo ile janja janja yao wale jamaa !!
Utafikiri hata mimi naamini hiki kitu. Wewe chokonoa mimi nitasema choko zimezidi kwa ndugu zangu, hebu tulione hili kwa sura nyingine tena na nzuri zaidi ni tumwite warioba na yale makaratasi yake.
Mara paa, katiba ya wananchi.
 
Ku plan jambo linalokwenda kinyume na taratibu walizojiwekea, inaonesha hawajui wanachofanya, chama cha wasiojielewa, hii excuse usiitumie tena.
Huoni hii plan itawatoa wote waliojificha pangoni ??! Time Will tell !! Tusubiri tuone !
 
Utafikiri hata mimi naamini hiki kitu. Wewe chokonoa mimi nitasema choko zimezidi kwa ndugu zangu, hebu tulione hili kwa sura nyingine tena na nzuri zaidi ni tumwite warioba na yale makaratasi yake.
Mara paa, katiba ya wananchi.
Hapo akili kubwa ndizo zenye uwezo wa kutambua yale yaliojificha !!
 
Hii ni typical propaganda stint, served with spinning juice.

Lisitutoe kwenye suala Halisi la Katiba Mpya na mambo muhimu yaliyoko mbele yetu kama Taifa, kama:-

1. Bashe na BBT vs mustakabali wa kilimo nchini. Kuna upigaji unaendelea wa kutisha huko, lakini nini kifanyike kuokoa jahazi?

2. Kuna Rasimu ya Mitaala ya Elimu 2023 (just released) - elimu na future ya watoto na vijana wetu. Inahitaji nguvu na michango yenu maana impact yake ni kubwa kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiroho.
Ilipaswa kutrend na kupewa uzito kuliko ilivyo.....

3. .....Ajira, Ripoti za CAG, Ufisadi nk nk

Silazimishi hoja, ila natoa angalizo; Tuepuke kunaswa na mitego ya 'Distractions'.
 
INTELEGENCY INANITUMA YA KWAMBA LISSU NA MBOWE NI KITU KIMOJA, ISPOKUWA MMOJA ANAKIWASHA, MWINGINE ANAKWENDA KWA NJIA YA DIPLOMASIA LAINI.
-Mtoto wa mjini hungamui tu maujanja haya.
#NOTE THIS!
Na hii ndiyo tunaiita twanga kotekote
 
Ku plan jambo linalokwenda kinyume na taratibu walizojiwekea, inaonesha hawajui wanachofanya, chama cha wasiojielewa, hii excuse usiitumie tena.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…