Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Wapumbavu hawawezi kuliona hili, Pana akili kubwa inatumika, ukizingatia mbowe ameshamaliza phase one, na kusababisha vyama leo kuweza KUPAYUKA, na bahati nzuri mpayukaji yupo he undergoes with PHASE 2.
 
Lissu ni disaster kwa CHADEMA na Tanzania
 
Naunga mkono hoja japo pia naamini there is an unknown plan between the two Guys ! Time will tell !!
 
Mbona hoja yake inaeleweka; Maridhiano sawa lkn haimaanishi Chadema wawe Wajinga...you take it with a pinch of salt, au siyo Mzee? We naye unaelekea kuzeeka Mzee baba
 
Tuache ramli, hoja ijibiwe kama ilivyo.. mara CCM, sijui nataka jimbo, mara nina jambo binafsi na Lissu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah!

Haya ya "CCM na kutaka jimbo" mbona siyaelewi yamefikafikaje hapa!

Hiyo "ramli" inahusu nini?

Lissu amesema kama alivyosema, na waliotaka kumwelewa wamemwelewa kwa hiyo lugha aliyotumia, ambayo ndiyo njia yake ya kuwasilisha anayotaka kuyawasilisha.

Wewe kuona kuwa ni "kuropoka" huo ni mwono wako, kwa hiyo hapa hakuna hoja ya kujibu kama unavyotaka iwe.
 
Lisu hawezi kuwa sahihi kwa kila jambo, utulivu huu uliopo wa kisiasa mpaka Bawacha wanaandamana kwa amani na kulindwa na Polisi haukuja hivihivi, ni uungwana na busara za Mama, Freeman Mbowe na Kinana.

Lisu siyo mwanasiasa, yeye ni mwanaharakati, hata Chadema leo ipewe nchi Lisu atahamia upande wa chama cha upinzani, ndio sehemu anayoenjoy.
 
Hoja za kujibu zipo nyingi, basi tu naona tuomboleze msiba kwa sasa.
 
Lisu hawezi kuwa sahihi kwa kila jambo, utulivu huu uliopo wa kisiasa mpaka Bawacha wanaandamana kwa amani na kulindwa na Polisi haukuja hivihivi, ni uungwana na busara za Mama, Freeman Mbowe na Kinana.
Wewe uite "uungwana", mimi nautambua kama takwa la sheria zilizopo na hao akina Kinana na wengine kulazimishwa na takwa hilo la kisheria na kulinda hadhi zao kimataifa.
Hili la kuwa "sahihi kwa kila kitu" ni nani mwenye uwezo wa namna hiyo mkuu 'Matola'?
Lisu siyo mwanasiasa, yeye ni mwanaharakati, hata Chadema leo ipewe nchi Lisu atahamia upande wa chama cha upinzani, ndio sehemu anayoenjoy.

Sasa hii ndiyo "ramli" aliyokuwa akiisema mkuu 'denoo' hapo juu.

Na hii dhana ya "mwanasiasa", mbona inayo tafsiri pana sana kwa hapa kwetu Tanzania? Tumewaona watu chungu nzima wa kila aina ya mambo yao wakipachikwa lebo hiyo hiyo ya uanasiasa. Akina Magufuli, walikuwa wanasiasa; akina Lyatonga; Kikwete na wengine wengi wasioshabihiana kwa lolote, wote ni wanasiasa.

Sasa wewe hapa unataka kumwondolea sifa hiyo Bwana Lissu, bila ya kuwa na kipimo sahihi cha mtu kuwa mwanasiasa!
 
Kwani tension yake imekunyima mkate??
 
I guess you bet right
 
Mkuu Mmawia , asante sana kwa uzalendo!. Huyu mtu wenu sio tuu ni msema hovyo, pia ni mpotoshaji!. IGA sio mkataba, ni makubaliano ya kuingia mkataba, mkataba ni HGA.

Kwenye bandiko hili, nimeuliza kama huyu jamaa bado ni an asset or now he is a liability?.
P
 
Hivi Paschal umeusoma huo au hicho unachokielezea hapa?
 
Huwa unajifanya mjuaji sana. Kuchanga chamba kwingi.......
 
Wacha kupoteza maana kwa kuingiza ukada wako ili kumlinda asiye na habari nawe. Lissu kwa Samia yupo sahihi, Samia ni msaliti aliyegoma kutusikiliza, ametuzibia masikio hafai.

Hili bandiko hapa halistahili kuunganishwa na comments toka sehemu nyingine, usipotoshe kwa maslahi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…