Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Viongozi kazi yao ni kutuongoza huwezi kutubebesha lawama wakati hatuna dhamana na uwezo wakufanya maamuzi katika hi nchi, Bibi yangu alioko kijijini hana chochote zaidi ya kusikiliza Radio kujua kiongozi wamesema je?
Hahahaha!!! hao viongozi wanashuka kutoka mbinguni?
Ni watu wanao kulia kwenye jamii zetu na wametengenezwa kama tungekuwa na jamii bora basi
hata viongozi tungewapat walio bora..
Angalia nchi za ulaya kabla ya mapinduzi na kuondoa mambo ya ufalme kama ufaransa
ni watu ndio waliamua sio viongozi hata uarabuni ni hivyo hivyo watu ndio wanaamua.
 
Viongozi kazi yao ni kutuongoza huwezi kutubebesha lawama wakati hatuna dhamana na uwezo wakufanya maamuzi katika hi nchi, Bibi yangu alioko kijijini hana chochote zaidi ya kusikiliza Radio kujua kiongozi wamesema je?
Huwezi kusema kuanzia rais ,mawaziri, wabunge sijui polisi mpaka mtendaji wa kata ni wa ovyo useme tatizo liko
kwao tu na sio jamii.
 
Naomba unielewe waleta sera na kutekeleza sera ni viongozi sie ni wa fuasi wa sera zao tu, kwahiyo sie hatuwezi kupindua hizo sera zao labda unataka upelekwe jela bure.
Hao viongozi kwani si sehemu ya jamii yetu?
kwanini viongozi wote wawe wa hovyo kama hakuna tatizo kwanye jamii wanayotoka?
Hizo sera zina kubaliwaje na watu mil. 60 wakati ni za hovyo kama hao watu sio wa hovyo?
 
Wewe ungependa sie watu wa chini tufanye je, ili tusiburuzwe na hao viongozi, wajati hata milo miwili ni shida afya mgogoro nk......Nyerere katuburuza miaka 25 kwa majaribio ya uchumi wa ujaama paka sasa hivi mitaala ya elimu inamsifia kama shuja wakati yeye ndo chanzo cha umasikini Tz
 
Ndio inapokuja suala la ideology wao wameweka ideology ambazo zina define usuperior wao na kutuonesha
kuwa sisi ni inferior.Africa hatujawahi kuwa na ideology hata moja toka ukoloni uingie.
sisi ni ku-copy iwe socialismm, capitalism, freetrade nk.
Ngoja ni kukumbushe mzungu kipindi anakuja Africa hatukuwa na omba omba wala mtu aliyekufa kwa njaa.
Huko ulaya walikuwepo wengi tu.
Sasa tuweke mambo sawa, tuiondoe Africa baada ya 15th C kisha tuijadili kabla ya hiyo karne. Maeneo ya kusini mwa Jangwa la sahara yalikua na mafanikio yapi katika nyanja zifuatazo..

¤Kisiasa
¤Kijamii
¤Kiuchumi
¤Sayansi na teknolojia.

Kisha tutumie mafanikio hayo kama ushaidi kwamba tulikua katika eneo zuri la kushindana na wenzetu.

Kuhusu capitalisim , socialism nk hiyo ni mifumo ambayo inazaliwa kulingana na mabadiliko ya jamii katika zile nyanja pale juu hivyo basi hakuna hoja ya kuiga ( copy)

Fact: Kipindi cha 15th Ulaya haswa Italy kulikua na kitu kinaitwa Renaissance Hapa ukisoma mambo yaliyofanywa na watu kama Leonardo Da Vinci ,Michaelangelo Bounarotti,Georgio Vasari,Verrochio na Bruneleschi kuwataja kwa Uchache tu unagundua kwamba Maendeleo sio njia ya mkato na hakuna wa Kukuzuia.

Hizo unaita ideologies unazipa nguvu sana....anyway rudi juu kunijibu kwanza.
 
Huyo ni lecture;
Anasema sub saharan Africa ni row material producers hiyo ni role yake katika uchumi wa dunia.
Sub saharan countries ni mhimu kwa nchi zilizoendelea katika uchumi wake, Na hawataruhusu Sub saharan
ku-escape katika role yake kama row material producers.
Pia ameongelea kuwa uchumi wote na ideology zake ziko designed kuiweka Africa maskin specifically sub-saharan iwe
Marakani, ulaya au china hayo ndio malengo makuu.
Na hiyo haimaanishi kuwa africa haina cha kufanya lakini huo ni ukinzani wanaotakiwa kupambana nao.
Amesema africa iwapo itafanya tofauti na mipango hiyo then uchumi wa mataifa makubwa lazima uanguke, USA haitakubali kitu
kama hicho bila mapambano makali.
Kazi kubwa ya wasomi wa mataifa makubwa na taasiis za elimu zao ni kutengeneza ideology ambazo zina washiwishi
waafrica kuendelea kufanya wanayofanya ili waendelee kuwa mikononi mwao na kuwaonyesha kuwa umasikini ni
matokeo ya uzembe wao.
Hiyo misaada tunayopewa ni kwa ajiri ya kuzisaidi serikali ziendelee kusafirisha row material bila tatizo.
Hiyo ni short summary unawez kufungua video kwa mengine mengi.
Mpumbavu mjambiani wa makunduuchi awezi kuelewa yeye anazungurusha makalio kukopa kama kahaba anavyo jiuza kimboka
 
Hakika ni kweli kabisa...

Ndiyo maana hata mambo wanayotufanyia ni yale yaliyopitwa na wakati...
Kuna sehemu nilikuwepo nikaona kitu cha brand moja matata sana nataka kununua naambiwa hiyo Africa haitafanya kazi sababu technolojia yake bado huko haijafika...
 
Sasa tuweke mambo sawa, tuiondoe Africa baada ya 15th C kisha tuijadili kabla ya hiyo karne. Maeneo ya kusini mwa Jangwa la sahara yalikua na mafanikio yapi katika nyanja zifuatazo..

¤Kisiasa
¤Kijamii
¤Kiuchumi
¤Sayansi na teknolojia.

Kisha tutumie mafanikio hayo kama ushaidi kwamba tulikua katika eneo zuri la kushindana na wenzetu.

Kuhusu capitalisim , socialism nk hiyo ni mifumo ambayo inazaliwa kulingana na mabadiliko ya jamii katika zile nyanja pale juu hivyo basi hakuna hoja ya kuiga ( copy)

Fact: Kipindi cha 15th Ulaya haswa Italy kulikua na kitu kinaitwa Renaissance Hapa ukisoma mambo yaliyofanywa na watu kama Leonardo Da Vinci ,Michaelangelo Bounarotti,Georgio Vasari,Verrochio na Bruneleschi kuwataja kwa Uchache tu unagundua kwamba Maendeleo sio njia ya mkato na hakuna wa Kukuzuia.

Hizo unaita ideologies unazipa nguvu sana....anyway rudi juu kunijibu kwanza.
Ungekuwa umeskiliza hiyo video ungeelewa.
Mafanikio unayoyadai yanatoka na idelogy ulizofundishwa kuwa ili mafanikio
yawe mafanikio ni lazima yawe na hiki.
Tunapohoji mafanikio lazima tujue tunatumia idelogy ipi kuhoji hayo mmafanikio.
Kabla ya kuhoji ubaya na wema lazima tuanze kwa kuhoji ukweli ni nin na uongo nini.
 
Back
Top Bottom