longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Kila ukitaja Big picture nakumbuka Kitabu cha Ben Carson anyway nje ya mada hiyo..Mkuu tafadhali jifunze kuona vitu katika big picture na katika all dimensions.
Tunaongelea kutokundelea kwa Africa Nkwameh Nkrumah alisema japo Ghana imepata uhuru lakini
kama nchi nyingine za Africa zitaendelea kuwa katika ukoloni uhuru wa Ghana hauna maana
think alikuwa anamaanisha nini.
Mimi ni artist Big picture inatengenezwa na small details ambazo zikikaa in harmonic way zinatengeneza sasa huo muonekano ( kwa photos Wanaita pixels )
Huwezi jizuia kujadili details ndogo iki kuhalalisha mindset fulani.
Kama tatizo ni ideologies au mkono wa Mzungu kupitia ukoloni Ethiopia ilipaswa kuwa mbele kwa wenzake leo hii maana hajaathiriwa directly.
Asante kwa kunikumbusha kwamba mada ni Kutokuendelea kwa Africa.Sasa nikupe swali lingine nipe mchango wa Africa kwenye maendeleo ya teknolojia Duniani.