Ni kweli kabisa kakaNi nature,unafiki ubinafsi ndio chanzo cha waafrika wenzetu kuchukuliwa utumwani kwa kushindwa kusaidiwa na waafrika wenzao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa kakaNi nature,unafiki ubinafsi ndio chanzo cha waafrika wenzetu kuchukuliwa utumwani kwa kushindwa kusaidiwa na waafrika wenzao.
Mimi hapo sipo kuwin argument lakini ku-discuss.Nilikisoma Mkuu na nafkiri ni nayo kwa library hapa....Tatizo lako ni moja Hujibu unaleta new fact hapa nikikujibu naendeleza mzigo wa maswali ambayo umeyapapasa tu.
Hii sikuiona😂😂😂ni mzungu sasa hivi kakuambia usidai haki zako za msingi.Hao leaders kama Muamari Gadafi, Lumumba, Sankara huwa wanaishia wapi zaidi ya kupigwa risasi
wakianza kufanya hizo reforms?
Ni waafrica wote tuna matatizo sio leaders kwa sababu hao leaders wanazalishwa na jamii
ambayo ni ya hovyo huwezi pata viongozi bora na mzungu anatumia hiyo kama karata yake.
Huyo ni lecture;
Anasema sub saharan Africa ni row material producers hiyo ni role yake katika uchumi wa dunia.
Sub saharan countries ni mhimu kwa nchi zilizoendelea katika uchumi wake, Na hawataruhusu Sub saharan
ku-escape katika role yake kama row material producers.
Pia ameongelea kuwa uchumi wote na ideology zake ziko designed kuiweka Africa maskin specifically sub-saharan iwe
Marakani, ulaya au china hayo ndio malengo makuu.
Na hiyo haimaanishi kuwa africa haina cha kufanya lakini huo ni ukinzani wanaotakiwa kupambana nao.
Amesema africa iwapo itafanya tofauti na mipango hiyo then uchumi wa mataifa makubwa lazima uanguke, USA haitakubali kitu
kama hicho bila mapambano makali.
Kazi kubwa ya wasomi wa mataifa makubwa na taasiis za elimu zao ni kutengeneza ideology ambazo zina washiwishi
waafrica kuendelea kufanya wanayofanya ili waendelee kuwa mikononi mwao na kuwaonyesha kuwa umasikini ni
matokeo ya uzembe wao.
Hiyo misaada tunayopewa ni kwa ajiri ya kuzisaidi serikali ziendelee kusafirisha row material bila tatizo.
Hiyo ni short summary unawez kufungua video kwa mengine mengi.
Duuh!!!! haki zipi hizo nimetaja nataka kuzidai?Hii sikuiona😂😂😂ni mzungu sasa hivi kakuambia usidai haki zako za msingi.
Changamoto kubwa ya AFRICA ni ubongo mbovu wa mtu mmoja mmoja.Hata kama hutaki ukweli ndo huoChangamoto kubwa ya Africa ni mifumo mibovu ya utawala
Sio wazungu tu me simlaumu mtu yeyote.Kumbuka ku facilitate yote haya, wanatumia viongozi "puppets"...hawaji na mitutu ya bunduki kulazimisha viongozi wetu waingie mikataba ya kijinga ya gas, dhahabu etc, wanatumia wanatumia wanasiasa wetu hawa hawa kutumaliza sababu wanajua viongozi wengi wa afrika hawana best interests za watu wao at heart, wapo tayari kufanya lolote kuabudu wazungu Hutu tukiangamia. So don't blame a white man, they simply doing that for their people, labda swali la msingi, sisi tunafanya for who?
Atakubishia hapa, atasema tatizo lipo kwetu sote, sote tupo hovyo, subiri utaona majibu yake.Kumbuka ku facilitate yote haya, wanatumia viongozi "puppets"...hawaji na mitutu ya bunduki kulazimisha viongozi wetu waingie mikataba ya kijinga ya gas, dhahabu etc, wanatumia wanatumia wanasiasa wetu hawa hawa kutumaliza sababu wanajua viongozi wengi wa afrika hawana best interests za watu wao at heart, wapo tayari kufanya lolote kuabudu wazungu Hutu tukiangamia. So don't blame a white man, they simply doing that for their people, labda swali la msingi, sisi tunafanya for who?
Kwanini mnapinga hatuna jamii ya ovyo?Atakubishia hapa, atasema tatizo lipo kwetu sote, sote tupo hovyo, subiri utaona majibu yake.
Another New fact.....Ukiamini kitu ni kweli unapaswa Kuthibitisha mjomba Nafahamu Historia ya Ulimwengu na nafahamu tunaigawa kwa vipindi fulani.Mimi hapo sipo kuwin argument lakini ku-discuss.
Bahati mbaya sana kila mtu amekuja na dhana zake before argument ambazo anaamini ni sahihi.
Mimi siwezi ni kakupa history yote ya ulimwengu lakini foundation na why tupo hapa sio rocket science
hiyo upeo wa kawaida wa kufikiri unatosha.
Sema mugabe aliitumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yakeMugabe alipoingia mara ya kkwanza uraisi media zao zilimpigia upatu ni reformer huku watu wake wakimuona ni msalit.
Alipoanza kuwafukuza kwenye umiliki wa ardhi ambayo More than 90% waliimiliki, ukawa mwanzo wa ugomvi na vikwazo
kutoka western.
Viongozi wabovu ni zao la malezi ya hovyo toka kwa wazazi wetu.Kwanini mnapinga hatuna jamii ya ovyo?
Kuanzia mtendaji mpaka raisi ni watu wa ovyo then useme tatizo ni viongozi tu?
Kwa nin africa tu ndio tuwe na viongozi wa ovyo?
Hahaha!!!! Duuh what is your concern mkuu?Another New fact.....Ukiamini kitu ni kweli unapaswa Kuthibitisha mjomba Nafahamu Historia ya Ulimwengu na nafahamu tunaigawa kwa vipindi fulani.
Mimi sihitaji kuwin ila nahitaji majibu
¤Kabla ya Ukoloni Africa ni nini? Muafrika ni nani?
¤Kwanini haikua inajulikana Ulaya na kwanini mahusiano yake na Ulaya ni yenye malalamiko tokea mwanzo?
¤Namna ya maisha Africa ilikuaje kabla ya wazungu?
La Mwisho Uingereza imewahi kutawala Robo tatu ya Dunia walitumia mbinu zinazofanana kote? kama sio Africa ilitawaliwa kwa mbinu zipi?
Hii itakupa picha ngumu ya ni namana gani Pori lilifunguliwa kwa nyanja zote.
Watu wa Hivyo wapo kote ila tunatofautiana wingi tu wa hao watu....Ndo maana nilianza kwa kukuuliza unafahamu lolote kuhusu China na sekeseke lake la mabadiliko?Kwanini mnapinga hatuna jamii ya ovyo?
Kuanzia mtendaji mpaka raisi ni watu wa ovyo then useme tatizo ni viongozi tu?
Kwa nin africa tu ndio tuwe na viongozi wa ovyo?
That is the fact..Viongozi wabovu ni zao la malezi ya hovyo toka kwa wazazi wetu.
Jamii ya hovyo utoa viongozi wa hovyo
You're very smart guy...haya ndio mambo huwa nawambia watu, jamii yetu imeharibu, haya mambo ni matokeo tu ya jamii mbovu, kama tunataka jamii I transform lazima tuone namna ya watoto wetu wanavyokuwa. It's something very powerful ila watu wachache watakuelewa sababu wengi tumelelewa hovyo, garbage in, garbage out.Aristotle alipata kusema
“Give me a child until he is 7 and I will show you the man.”
Vitu vyote unavyo vifanya ukiwa mtu mzima vinatokan na ulichojifunza mpaka ulipofkia
miaka saba.
Simple SIO ideologies wala Mzungu Ni Wewe Toka Africa inaanza kuwa concept.Hahaha!!!! Duuh what is your concern mkuu?
Hit the point acha kuzunguka.
mada ni kwanini Africa haiendelei basi.
Rwanda wana nini cha kujivunia ndg?Watu wa Hivyo wapo kote ila tunatofautiana wingi tu wa hao watu....Ndo maana nilianza kwa kukuuliza unafahamu lolote kuhusu China na sekeseke lake la mabadiliko?
Au Renaissance ya Italy pamoja na Enlightment period.....Hizo nyakati ndo zilizopunguza wapumbavu huko kwao Kutoka Kipindi cha Dark Age
Kwanini Ukwepe kulinganisha Two continents at 15century....Kwanza ni nani Alimtafuta Mwenzake? Mzungu Au Muafrika.
Leo tunalalamika Rwanda wanazidi kuwa smart kutuzidi na ushawishi wao unakuwa kila siku..Mara wanawaibia wakongo....Smart generation ita prosper hii inaanzia nyumbani kwako. Mfundishe mtoto kumlalamikia mzungu in the name of Ideologies uendeleze Matatizo