love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
- #121
Ni sisi wenyewe..kwani nani ameiharibu jamii yetu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sisi wenyewe..kwani nani ameiharibu jamii yetu..?
Hivi unakiekewa kipindi abachoongelea mwenzio na hiki chako cha Alexandria?Alexendria library ilikuwa wapi kama haya maandishi hayakuwepo?
I think your biased.
Naona umesoma mitahala ya history open your mind.
Maswali unayouliza haya hata relation na tunachochadili.
Kama Wamisri hawakujua kusoma na kuandika Alexendria library ambayo ndio ilikuwa google
ya wakati huo waliandika watu gan?
Soma historia yako vizuri apart from mitahal ya elimu yako.
Suluhu ya hili tatizo la underdevelopment katika nchi za Africa, kwa sasa lipo mikononi mwetu. Ijapokuwa hatutapata faida ya papo kwa hapo, lakini tuviweka vizazi vijavyo katika nafasi nzuri ya kujinasua kwenye huu mtego.Tena mbaya zaidi vita hii ya akili ikaja kolezewa na warusi na wachina enzi za vita baridi Ili kuwawini waafrika wawe upande wa wajamaa kwa kuwapandikiza sumu waafrika wazidi kuwachukia wazungu kwa kutumia watawala wa kiafrica nao watawala wa kiafrica wakapata gap hapo la kuhalalisha kushindwa kwao kuwaletea waafrika maendeleo wakishirikiana na kambi ya ujamaa kuwaamisha uwongo ya kwamba wazungu ndio chanzo cha matatizo yote ya Afrika.
Ukija sasa kwa idealogy za sasa zinapingana na ideology hizo za miaka ya 70.Za sasa zinamaanisha sisi wenyewe ndio chanzo cha matatizo yetu na sisi pekee ndo tunao uwezo wa kuweza kujitatulia shida zetu.
Mzee unasoma kweli ama unakimbilia kujibu tu....Alexendria library ilikuwa wapi kama haya maandishi hayakuwepo?
I think your biased.
Naona umesoma mitahala ya history open your mind.
Maswali unayouliza haya hata relation na tunachochadili.
Kama Wamisri hawakujua kusoma na kuandika Alexendria library ambayo ndio ilikuwa google
ya wakati huo waliandika watu gan?
Soma historia yako vizuri apart from mitahal ya elimu yako.
Bila kuficha, dini ya uislamu nayo inachochea sana kuchukia wazungu.Tena mbaya zaidi vita hii ya akili ikaja kolezewa na warusi na wachina enzi za vita baridi Ili kuwawini waafrika wawe upande wa wajamaa kwa kuwapandikiza sumu waafrika wazidi kuwachukia wazungu kwa kutumia watawala wa kiafrica nao watawala wa kiafrica wakapata gap hapo la kuhalalisha kushindwa kwao kuwaletea waafrika maendeleo wakishirikiana na kambi ya ujamaa kuwaamisha uwongo ya kwamba wazungu ndio chanzo cha matatizo yote ya Afrika.
Ukija sasa kwa idealogy za sasa zinapingana na ideology hizo za miaka ya 70.Za sasa zinamaanisha sisi wenyewe ndio chanzo cha matatizo yetu na sisi pekee ndo tunao uwezo wa kuweza kujitatulia shida zetu.
Hahaha!!!! mimi nilikuwa naongelea sasa yeye amenirudisha karne ya 15.Hivi unakiekewa kipindi abachoongelea mwenzio na hiki chako cha Alexandria?
Inavyo onekana histori ni somo geni kwako
Yaani hapo ndo anapojichanganya.Hivi unakiekewa kipindi abachoongelea mwenzio na hiki chako cha Alexandria?
Kuna influence ya huo uharibifu ambayo kwa akili ya kawaida ni ngumu kujua, mipango imepangwa kwa akili kubwa sana na ikapangika, tunajikuta tunaangukia mulemule.Ni sisi wenyewe..
Na hisi utakuwa na tatizo..Mzee unasoma kweli ama unakimbilia kujibu tu....
Wewe umemleta Alexander the Great wa Greek Hapo 3rdCentury BC Roman empire kama spinning point ya Africa kupotea.
Nimekuletea Ancient Civilization ambapo Greco-Romans wamezalishwa na hizi big four Wewe unaongelea library ya 283 BC
Trace changes za human from 10,000Bc
Egypt sio Subsaharan area...SO WHY Greeks wachukue knowledge waende Kwao Europe Lakini Huku sisi tusiende why....Ukiona huwezi jibu kitu usidhani hakihusiani na mada husika.......
Yaani simple Kwanini Egypt kuwepo na Gurudumu la mkokoteni Kalenda kilimo cha umwagiliaji lakini Tanzania Kenya Uganda nk vikosekane Wakati Egypt tupo nao karibu tu.
Kila aliyesoma aliona huu mwaka hapaHahaha!!!! mimi nilikuwa naongelea sasa yeye amenirudisha karne ya 15.
Mimi nikamwambia karne ya 15 sio mwanzo wa anguko la Africa ni zama za Alexendria.
Kama ni somo geni hayo ya Alexandria nimejulia wapi.
Navyo ona nimeenda beyond the scope ya mitaala yenu ya elimu kwa sababu historia yangu haipatkani
huko.
Kwa akili yako hapo ndio historia ilipoanzia!?Kila aliyesoma aliona huu mwaka hapa
👇👇👇
The span of ancient history began with the invention of writingabout 3100 bc and lasted for more than 35 centuries.
Ngombe hachinjwi kwa kuanza na mkia mzee.... kwakuwa 15century ulikimbia sasa tumeanzia History ilipoanzia ( Kama hii kauli hutaielewa basi utakua umeprove alichokisema mkuu hapo juu)
Mwarabu katili, mwafrika roho mbaya dunia isingekalika Ingekuwa uwanja wa fujo. Mzungu anapooza joto la mwarabu na mwafrika.Bila kuficha, dini ya uislamu nayo inachochea sana kuchukia wazungu.
Ukweli Dunia bila hawa wazungu, kungekuwa na mito ya damu has a Africa na nchi za waarabu
Tuwatumie hao hao wazungu Ili tuendelee kwa kushirikiana nao kwa faida ndo walichofanya nchi za dunia ya pili kuendelea .Suluhu ya hili tatizo la underdevelopment katika nchi za Africa, kwa sasa lipo mikononi mwetu. Ijapokuwa hatutapata faida ya papo kwa hapo, lakini tuviweka vizazi vijavyo katika nafasi nzuri ya kujinasua kwenye huu mtego.
Uzuri Jamii Forum haikupi nafasi ya kufahamu kwa urahisi unayezungumza naye.....Na hisi utakuwa na tatizo..
Hujui hata watu wote wanaoishi maziwa makuu walikuwa wapi miaka kadhaa nyuma!?
Kwa akili yako zama za Alexendria sub saharani ilikaliwa na watu gani?
Nahisi naongea na mtu wa historia ya advance tu ambaye hajui chochote.
Ndio maana narudia kukwambia ona vitu kwenye big picture.
Yaani unataka kusema umaskini wa Afrika,hususani TZ,umesababishwa na nchi za magharibi?sasa hebu tuanze kidogo,Inajulikana hivyo na itaendelea kuwa hivyo na hakuna wa kubadirisha mfumo huo.
Tayari tulishalishwa dawa za kizungu, kiharabu nk, so kuchomoka ni nadra that's why unaona tupo hivi, Afrika tina utajiri wa namna zote kuliko hao waliotutawala but tupo chini yao as makoloni japo wanatutawala kisasa kupitia mikopo, dini na misaada.
As he said, ukitaka kupanda as Gaddaf au Jiwe huchukui round, wanatumia hao hao ndg zako for wrongdoing then unarejesha funguo kwa maulana.
Sihitaji ni kufahamu.Uzuri Jamii Forum haikupi nafasi ya kufahamu kwa urahisi unayezungumza naye.....
History inakua in chronological order...acha nikuelimishe kidogo Historia ya Tanzania ina kipengele cha The people of Tanzania mfano Wabantu hawa ni from Western Sudanic zone Wanilotes ni from northen side of continent nk. Hatufanani mwili mpaka akili mimi mwenyewe nafahamu origin yangu.
Hawa watu wooote hawakudondoka from heaven right?
Mfano Masai katoka Sudan/Ethiopia via Kenya Turkana area Akashuka na Great rift Valley Nairobi( wakita Cold land ) Namanga ( meaning wandering )kisha Arusha ( land of Larusa people waarusha) Serenget ( mean land of no limit ) wakaingia mkataba na wakoloni juzi hapo wakahamishiwa Ngorongoro ( leo mgogoro )
Wametoka hapo southward Tanga maeneo ya kilindi wakashuka mpaka Morogoro Naskia wapo Mpaka Tukuyu Mbeya wanauza dawa na viatu wataendelea kushuka tu wasipobadilika watajikuta south Africa
Now From Ethiopie Kush territory up tu Morogoro Tanzania wana nini kinachoonyesha walijichanganya na Wa ancient Egypt.
Huyo lisu ndio niliamini ni mnafiki..Wakati mwenda zake alikuwa anapambana kuichomoa Tanzania 🇹🇿 kutoka kwenye mikataba ya kinyonyaji wa madini,Lissu aliwatetea na kusema tutanyolewa bila maji. Africa imejaa vibaraka wengi wa wazingu.
Aibu snUnamkumbika profesa aliyetolewa jalalani?
Pia dini ya uislamu ndio imechangia maendeleo kwenye nchi za kaskazini Mwa afrika zile nchi za waarabu wa AfrikaBila kuficha, dini ya uislamu nayo inachochea sana kuchukia wazungu.
Ukweli Dunia bila hawa wazungu, kungekuwa na mito ya damu has a Africa na nchi za waarabu