Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Aristotle alipata kusema

“Give me a child until he is 7 and I will show you the man.”​

Vitu vyote unavyo vifanya ukiwa mtu mzima vinatokan na ulichojifunza mpaka ulipofkia
miaka saba.
Hii hoja yako ni too General....sijajua unaongelea kwa upande wa personality traits kwa Psychological perspective au...
Sababu mimi binafsi yapo mambo mengi nimefanya na hayakuwahi kuwepo upande wangu hiko kipindi nina miaka saba.
 
Hahaha!!! in a big picture..
Kama ukiwa hujawekewa foundation kwenye miaka hiyo basi sio tatizo but
kama uliwekewa strong foundation ya ni uwe hiyo ina impact kubwa sana,
kwa namna utakovyo kuwa una vitazama vitu.
 
Ungekuwa umeskiliza hiyo video ungeelewa.
Mafanikio unayoyadai yanatoka na idelogy ulizofundishwa kuwa ili mafanikio
yawe mafanikio ni lazima yawe na hiki.
Tunapohoji mafanikio lazima tujue tunatumia idelogy ipi kuhoji hayo mmafanikio.
Kabla ya kuhoji ubaya na wema lazima tuanze kwa kuhoji ukweli ni nin na uongo nini.
Kwanza kabisa niweke wazi mjadala wa Umasikini Africa sio jambo geni kwa wanazuoni na halitafikia mwisho hivi karibuni. Nimesoma Two School of Thought ambazo ni Kinzani.
Afrocentric Vs Eurocentric..Ukisoma hisotory of Africa kwa European perspective utaona mambo fulani yenye ukweli kabisa licha ya hoja hasi kuwepo pia lakini Ukiwasoma wazee wa Pan Africanism yapo mazuri pia lakini kuna Malalamishi mengi mfano Walter Rodney na How Europe underdevelop Africa.

Unasema Ideology ( mara nyingi sasa hivyo naona huu ndo msingi wako sasa tujadili )

Ok wote tunakubaliana MAENDELEO NI HATUA CHANYA KUTOKA ENEO FULANI DUNI KWENDA ENEO FULANI ZURI ZAIDI. Kwa maana hii hakuna maendeleo kwa mtazamo wa ideology katika hiyo definition.

Sasa tulete jamii mbili nyeusi na nyeupe kwa kipindi fulani tuzifananishe ubora wa maisha yao mifumo yao pamoja na muelekeo wao kwa miaka mingi ijayo.
 
Hiyo Row uliyotumia sio sahihi bali ni Raw.....
Kwa mada nikijikita sasa...nina swali kwako.
Kwa siasa hizi za Tanzania na taasisi zetu nyeti unaona ziko kwaajili ya kufanya maendeleo? Kabla ya kumuhusisha mzungu.

Fact; Mzungu kaingia Africa karne za hivi karibuni tukwa harakaharaka ni tangu ya 15 ukiondoa hii miaka 500 ya Mzungu Africa ilikuwa na nini kuwalinganisha na hao Wazungu wq kipindi hicho.
Bado sijajua mzungu anasababisha vipi political instability kwa nchi kama Tanzania, sijajua anahusika vipi na wizi mkubwa wa viongozi ktk fedha za umma, sijajua mzungu anahusikaje na uvunjwaji wa katiba mfano mtu mmoja kuamria kupeleka ndege, mbuga kijijini kwake n.k
 
Hahaha!!! in a big picture..
Kama ukiwa hujawekewa foundation kwenye miaka hiyo basi sio tatizo but
kama uliwekewa strong foundation ya ni uwe hiyo ina impact kubwa sana,
kwa namna utakovyo kuwa una vitazama vitu.
Narudia tena Toa muelekeo wa jibu lako ni upande wa saikolojia ama maana.....Learning is an endless cycle
 
Kwanza kabisa niweke wazi mjadala wa Umasikini Africa sio jambo geni kwa wanazuoni na halitafikia mwisho hivi karibuni. Nimesoma Two School of Thought ambazo ni Kinzani.
Afrocentric Vs Eurocentric..Ukisoma hisotory of Africa kwa European perspective utaona mambo fulani yenye ukweli kabisa licha ya hoja hasi kuwepo pia lakini Ukiwasoma wazee wa Pan Africanism yapo mazuri pia lakini kuna Malalamishi mengi mfano Walter Rodney na How Europe underdevelop Africa.

Unasema Ideology ( mara nyingi sasa hivyo naona huu ndo msingi wako sasa tujadili )

Ok wote tunakubaliana MAENDELEO NI HATUA CHANYA KUTOKA ENEO FULANI DUNI KWENDA ENEO FULANI ZURI ZAIDI. Kwa maana hii hakuna maendeleo kwa mtazamo wa ideology katika hiyo definition.

Sasa tulete jamii mbili nyeusi na nyeupe kwa kipindi fulani tuzifananishe ubora wa maisha yao mifumo yao pamoja na muelekeo wao kwa miaka mingi ijayo.
miaka 60 tu iliyo pita nchi nyingi za asia tulikuwa pamoja nazo au unataka ushahidi upi?
 
Naomba unielewe waleta sera na kutekeleza sera ni viongozi sie ni wa fuasi wa sera zao tu, kwahiyo sie hatuwezi kupindua hizo sera zao labda unataka upelekwe jela bure.
Nakuelewa mkuu, sema jamaa amejikita kuwa mawazo yake ndio jibu sahihi, ila unachozungumza kwa upande wangu nakuelewa mno.
 
Hiyo Row uliyotumia sio sahihi bali ni Raw.....
Kwa mada nikijikita sasa...nina swali kwako.
Kwa siasa hizi za Tanzania na taasisi zetu nyeti unaona ziko kwaajili ya kufanya maendeleo? Kabla ya kumuhusisha mzungu.

Fact; Mzungu kaingia Africa karne za hivi karibuni tukwa harakaharaka ni tangu ya 15 ukiondoa hii miaka 500 ya Mzungu Africa ilikuwa na nini kuwalinganisha na hao Wazungu wq kipindi hicho.
Hatukuwahi kua na chochote cha kujivunia kwamba tumekiunda sisi. Waafrica ni masikini wa akili tangu hata hatujatawaliwa.
Mpaka wazungu wanaamua kuizunguka dunia na kuijua africa ni dhahiri kwamba walijua na akili sana. Walipotukuta sisi hata nguo hatuna wakajua ni aina flani ya wanyama walioendelea
 
Hapa tuweke Rekodi sawa Ethiopia na Liberia hazikukoloniwa unawazingumziaje sasa
Mkuu tafadhali jifunze kuona vitu katika big picture na katika all dimensions.
Tunaongelea kutokundelea kwa Africa Nkwameh Nkrumah alisema japo Ghana imepata uhuru lakini
kama nchi nyingine za Africa zitaendelea kuwa katika ukoloni uhuru wa Ghana hauna maana
think alikuwa anamaanisha nini.
 
miaka 60 tu iliyo pita nchi nyingi za asia tulikuwa pamoja nazo au unataka ushahidi upi?
Sasa nakaribia kukata tamaa....Nilitegemea mjadala wenye hoja lakini....Anyway.
Tumchukue China kama mfano wa Nchi za Asia zilizotawaliwa kisha zikaja kua big tena ndani ya Muda mfupi.
Kwanza China aliingizwa kwa ideology ya Capitalism kwa nguvu za ukoloni Akatoka hapo 1940s hapo akacopy Socialism kwa Jirani yake Soviet Union ( Kama Tanganyika ilivyofanya late 1960s) now unajua kilichotokea.

Hoja yangu Unaifahamu historia ya China kabla ya Great Britain +Japan kuwatawala?
Unafahamu zile Dynasties zake kama Qin Dynasty? na mchango wake kwenye kutengeneza Ancient China?
Je Kabla ya kukoloniwa China ilikua katika Mfumo gani?
Ukijibu haya utanisaidia sana.
 
Sasa tuweke mambo sawa, tuiondoe Africa baada ya 15th C kisha tuijadili kabla ya hiyo karne. Maeneo ya kusini mwa Jangwa la sahara yalikua na mafanikio yapi katika nyanja zifuatazo..

¤Kisiasa
¤Kijamii
¤Kiuchumi
¤Sayansi na teknolojia.

Kisha tutumie mafanikio hayo kama ushaidi kwamba tulikua katika eneo zuri la kushindana na wenzetu.

Kuhusu capitalisim , socialism nk hiyo ni mifumo ambayo inazaliwa kulingana na mabadiliko ya jamii katika zile nyanja pale juu hivyo basi hakuna hoja ya kuiga ( copy)

Fact: Kipindi cha 15th Ulaya haswa Italy kulikua na kitu kinaitwa Renaissance Hapa ukisoma mambo yaliyofanywa na watu kama Leonardo Da Vinci ,Michaelangelo Bounarotti,Georgio Vasari,Verrochio na Bruneleschi kuwataja kwa Uchache tu unagundua kwamba Maendeleo sio njia ya mkato na hakuna wa Kukuzuia.

Hizo unaita ideologies unazipa nguvu sana....anyway rudi juu kunijibu kwanza.
Asipoelewa jamaa atakuwa anapenda ligi ya kubishana.
 
Nakuelewa mkuu, sema jamaa amejikita kuwa mawazo yake ndio jibu sahihi, ila unachozungumza kwa upande wangu nakuelewa mno.
Mimi na naangalia the root source of the problem ni kweli viongozi wetu ni tatizo sikatai
Kwanini Africa tu ndio iwe na viongozi wa ovyo, ni simple kwa sababu tuna jamii ya ovyo ndio
ina zalisha viongozi wa ovyo.
Unless mniambie wakiwa viongozi ndio wanageuka kuwa wa ovyo.
Lakini vipi kuhusu hizi ngazi zingine ukitoa top leaders wanaperform inavyotakiwa?
 
Sasa nakaribia kukata tamaa....Nilitegemea mjadala wenye hoja lakini....Anyway.
Tumchukue China kama mfano wa Nchi za Asia zilizotawaliwa kisha zikaja kua big tena ndani ya Muda mfupi.
Kwanza China aliingizwa kwa ideology ya Capitalism kwa nguvu za ukoloni Akatoka hapo 1940s hapo akacopy Socialism kwa Jirani yake Soviet Union ( Kama Tanganyika ilivyofanya late 1960s) now unajua kilichotokea.

Hoja yangu Unaifahamu historia ya China kabla ya Great Britain +Japan kuwatawala?
Unafahamu zile Dynasties zake kama Qin Dynasty? na mchango wake kwenye kutengeneza Ancient China?
Je Kabla ya kukoloniwa China ilikua katika Mfumo gani?
Ukijibu haya utanisaidia sana.
Hahaha!!! asee mkuu mimi sifahamu yote hayo..
But the point is nchi kama malasysia, singapore nk. tulikuwa the same level katika metrica za uchumi
naideology walizoweka.
 
Back
Top Bottom