Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

Mazayuni wanajiandaa kujenga hekalu ili kumpokea masiha wao aka the Antichrist 666 , The beast
Na hii ni Bible na Qur'an vyote vimeandika hilo
Wakristo wenzangu mbumbumbu wanalamba mikundu ya waaabudu Ibilisi (mazayuni) kama vipofu .
 
Mesiah wa mazayuni si Christ ambao mbumbumbu wengi katika ukristo wanadhania
Mesiah wa mazayuni ni the Antichrist in English aka Dajjal in Arab aka Leviathan in Hebrew aka Mpinga Kristo in Swahili
 
Safi sana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mbumbumbu mmoja unayeshabikia usichokijua , fool
Be watchful of what you are wishing for
 
Waafrika na imani za kijinga!
Labda mwisho wako wewe.
Hahaaaaa, jidanganye na lete ujuaji ila siku ile ipo. Siku ya giza na utusitusi, siku ya Kilio na Ole. Siku ya kusaga meno ipo na inakuja. Usidanganyike jioni ile ipo kwako wewe Muongo, Mzinzi, shoga, mlevi, mlawiti, muabudu sanamu, mfiraji na muasherati.

Siku ile ya kukutanika njia panda ipo. Siku ya kufunukiwa kwa siri za mioyo ya wanadamu ipo. Kesho yako ni fumbo na umilele wako unakribia. Ni wakati wako sada wa kumrudia muumba wako. Kiburi cha uzima kisikupotoshe siku ile mbaya inakuja kwenu, ila ni Asubuhi na pambazuko zuri kwao wamuitao na wamuaminio mwana wa Mmiliki.
 
Exactly , nimefurahi kujua wapo watu atleast hawajawa brainwashed na garbage za Kizayuni , wanaosoma maandiko na kujua trend za events
 
Yesu alishasema hakutasalia jiwe hata moja kwenye hilo hekalu

Ukiona Mkiristu anashabikia ujenzi wa hekalu upya, basi ujue huyo anashibikia wale wanaojaribu kuchallenge unabii wa Yesu, na hao hawawezi kuwa upande wenye heri.

Wazayuni wanaitia najisi nchi takatifu!
 
Mesiah wa mazayuni si Christ ambao mbumbumbu wengi katika ukristo wanadhania
Mesiah wa mazayuni ni the Antichrist in English aka Dajjal in Arab aka Leviathan in Hebrew aka Mpinga Kristo in Swahili
Hujatumia hekima katika hili japo nawe huelewi chochote, Jews kama dini na kama taifa ndio walimkataa Kristo ila jews binafsi toka wanafunzi wa Kwanza 500 waliokuwa wanaongizana na Kristo wapo wayahudi waliomuamini wao Binafsi na ndio maana Ukristo ulitoka ubavuni mwa Uyahudi.

Sio kweli masihi wa wayahudi ni mpinga Kristo Kwani Mpinga Kristo ni Roho Kamili ambayo ipo na inafanya kazi hata sasa na ndio hii tunayoiona humu. Mpinga Kristo atatokea uarabuni na ataishi pale NEON City mji wa kifahari unaojengwa Uarabuni. Huyu atafanya suruhu na Wayahudi baada ya kubomolewa huo msikiti kwa kioindi cha miaka 3.5 na baadaye atawageuka kwa miaka 3.5 hiko ndio kipindi cha dhiki kuu na meisho wa dhiki kuu. Yule waliyemkataa atakuja waokoa.

Hakuna Mkristo asiyejua hayo
 
Mnapenda kumchukulia mungu kama mjomba wenu ,yakuwa mtu kama ww unaye shinda humu unatukana na kuikejeli watu wa dini zingine na unaye shinda humu unashabikia mauaji ya watoto ndo unategemea kwenda mbinguni?
 
Nabii Ibrahim hajawahi kuiombea nchi ya Israel eneo ambalo amelinunua Kwa pesa yake badala yake akaiombea nchi ya Saudi Arabia

Alijua kuwa itakuwa ni nchi ya watu waliolaniwa

Qurani 2:126
- Na alipo sema Ibrahim: Ee Mola wangu Mlezi! Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Akasema: Na mwenye kukufuru pia nitamstarehesha kidogo, kisha nitamsukumiza kwenye adhabu ya Moto, napo ni pahala pabaya mno pa kurejea.

Quran 2:127 -
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

Quran 2:128 -
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

Quran 2:129 -
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
 
Hakuna unalojua wewe ,ni bora ukae kimya
Hawa modern Jews si real Jews ,ni imposters waliouvaa uyahudi feki na ndio tools zitakazotimiza huo utabiri wa vitabu vitakatifu
Wewe endelea kukaza fuvu
Kwenye Talmud na kabalah Leviathan au serpent ndio huyo Antichrist wanaomsubiri hao mazayuni
Mazayuni ni Antichrists Acha umbummbu
Laiti ungejuwa kilichoandikwa kwenye Talmud na Kabbalah kuhusu Christ ,ungeacha ujinga wako huo wa kuabudu demonic figures aka modern fake Jews
 
Sawa!
 
nahis kama Oct 7 ,hamas walitegewa poison na wailamba kwa pupa nahis wazayuni walikua wanatafuta sababu ya kufukuza apo kitaa walivokua mapimbi wakaenda na makamera kabisa kuonyesha umma wa Dunia kama wao wanastahili kupigwa na kutengwa
 
Hahaaaa na viingereza vingiiiiii ila umeandika ushuzi mtupu. Mwenyewe kuandika Levithian, Serpant, Talmud na kabbalah umejiona umeandika vitu vipya na vigumu.

Dogo unajua Levithian au Serpant ni nini? Unajua nini kuhusu roho ya Mpinga Kristo? Unajua nini kuhusu NEON City?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…