Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

Shukrani sana, safii....
Angalieni hii kenge nayo,, shukurani hiyo unampa nani, huyo alieleta mada kwa kipi sasa na wakati yeye mwenyewe anahisi, hakuna kikao wala mkutano rasmi waliokaa hao wajomba zake mungu kwamba wafikie makubaliano wauvunje huo msikiti Zaidi yenu nyie waisrael wa kyela na wewe punda mmoja kutoka kibera,, ikiwa mnawakubali sana wayahudi kwa nini msijiunge na dini
 
Mkuu hamna kitu kama hiyo haitawahi tokea.

God bless and protect Israel.
Ivi we una akili kweli?? Yani mungu(yesu) awaprotect wayahudi wakati wao ndo waliomtundika na kichupi pale msalabani mpaka akaomba poo,,, hivi hata kama wewe ndo mungu(yesu) utakubali kweli? Yani wakudunde alafu uwaprotect 😀
wagala sijui mnatumiaga kiungo gani kufikiri.
 
Dogo acha mambo ya qysayngay jamvin
 
Waondoe hiyo takataka!
 
Wauvunjwe hekalu lisimikwe awa magaidi wamepanajisi apo na majini yao
Unaelewa maana ya kuvunja mdikiti na kujenga hekalu?

Nfio hili litatokea kwa mujibuwa unabii katika biblia but vita yake usipime
 
Mesiah wa mazayuni si Christ ambao mbumbumbu wengi katika ukristo wanadhania
Mesiah wa mazayuni ni the Antichrist in English aka Dajjal in Arab aka Leviathan in Hebrew aka Mpinga Kristo in Swahili

Yaani wakristo wawe wajinga kuhusu mpinga Kristo alafu hao wengine wawe sahihi?.

Nb:- swala la mpinga Kristo halisemwi na Wakristo bali biblia.
Ni biblically thing, so kama Kuna makosa unayahisi katika swala zima la mpinga Kristo ulipaswa useme biblia inadanganya kuhusu mpinga Kristo sio wakristo anadanganya kuhusu mpinga Kristo.
 
Nakuhakikishia hilo haitatokea kamwe!! na wakiuvunja msikiti wa Al Aqsa basi ndio mwisho wa Taifa feki la Israel hapa duniani. Hapo si umeona Haouthi kaingia kati? siku wakigusa huo msikiti ni waislamu wa dunia yote wataiangukia Israel
 
Unabii wa akina Mwamposa
 
hawawezi kuvunja sasaivi. siku wanavunja ndio majira dunia itaisha, kwasababu mataifa yote ya kiislam yakisaidiwa na urusi na iran na china wataibuka dhidi ya Israel ambaye hatasaidiwa kabisa na Marekani wala yeyote (kwasababu hata marekani hatakuwa na uwezo kusaidia lolote), na ndipo waisrael wengi watapigwa na kukimbilia maporini ovyo hakuna yeyote wa kuwaokoa ila Mungu tu. hapo ndipo watamlilia Mungu na kumwamini kwa usahihi. naye atasikia kilio chao, atashuka na kuwaokoa wale waliobaki. 3/4 ya maadui wote yaani majeshi yaliyokuwa yanaipiga Israel itaangamizwa na Mungu kwa tetemeko, mawe na mapigo kadhaa. hapo ndipo mfalme wa wafalme atashuka kuitawala hii dunia.
 
kuna mahala haupo okay.
Jitafakari.wacha

Yani mazombi ya kiislam yanauliwa hapo gaza hakuna anaesaidia ikawe ndio hicho kimsikiti
 
Hasira zao hawa mbwa watakimbilia kuchinja waafrika.
Waafrika hatuna serikali zinazothamini wananchi wake.
Nigeria ni moja ya nchi hizo zisizothamini raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…